Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Makocha Wengi Waliotamba Mwanzoni mwa Miaka ya 1996s na 2000s Hawana Solo tena Katika Soccer la Sasa Kwani Mbinu Zao Haziendani Na Wakati huu.

Sasahivi Wameibuka Makocha Walioanza Kutamba Kuanzia Miaka ya 2010s (Poch, Sime, Pep, Klopp, Tuchel n.k.) Ndiyo wanaoonekana Wanaendana Na Mbinu za Soccer la sasa.

Kwahiyo Kroenke Kamfanya Wenger kuwa ni Scapegoat kutokana Na Falsafa zake za Kiuchumi.
Trust me! Washabiki Wa Arsenal Watakuja Kumlilia Huyu Jamaa! Hawajui Kocha Ajae Atawafanyia Nini Kwani Mmarekani wa Arsenal Hayuko Tayari Kumleta Kocha Wa Big Budget bali Atatfuta Wa Low budgate ili aendelee Kutengeneza hela.

Umenena swahiba yaani nasubiri tu nione miujiza labda ila nategemea Kroenke kuendeleza ubabe wake na ubahili kwa kumleta kocha wa ovyo,sasa rasmi tunaingia kipindi kirefu cha mpito ngoja tuone itakuaje.
 
Wenger anaondoka Arsenal mwaka mmoja kabla ya kandarasi yake kukamilika na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anaamini kwamba alijiondoa kabla ya kufutwa kazi.
Arsene Wenger ni mtu mwenye 'kanuni, mwaminifu na muadilifu'-ndio maana ninaamini alifutwa kazi na hakujiuzulu, Wright aliambia gazeti la The Sun nchini Uingereza.
Kwa kejeli zote na matusi aliorushiwa , Arsene Wenger sio mtu ambaye angesalimu amri na kuondoka kwa hiari kabla ya kandarasi yake.

''Ni hali ngumu kwamba ilifikia hatua hii na sidhani kwamba tutajua aliyechukua hatua hii kwa sababu watajificha''.
''Siku moja anaitisha mkutano na wanahabari bila ishara yoyote na watu wakitafakari ameondoka haingii akilini''.
''Lakini Arsene ataondoka akiwa na ufanisi mkubwa. Ndio maana matokeo yoyote yale anafaa kuagwa vizuri kama mtu aliyewacha sifa kubwa katika klabu hiyo. Ufanisi wote huu unatokana na yeye''.
 
Mkufunzi wa klabu ya Bayern Munich Carlo Ancelotti amesema kuwa anamuheshimu mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger na akasema kuwa mkufunzi huyo ataweza kujinasua kutoka kwa shutma ambazo zimekuwa zikimkabili hivi majuzi.
Matokeo mabaya katika ligi ya Uingereza yameongeza uvumi kuhusu hatma ya raia huyo wa Ufaransa huku baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo wakimtaka aondoke.
Ancelotti anaamini kwamba Wenger anafaa kupongezwa kwa kazi aliyofanya.

''Alijenga kitambulisho na mbinu nzuri ya kusakata soka'' ,alisema raia huyo wa Itali.
''Wenge ana uzoefu wa kujua kwamba katika kazi yetu ni swala la kawaida kukosolewa.

kwa hilo hana tatizo. Ninaheshimu sana kazi aliyofanya katika klabu ya Arsena''l.
Ancelotti ambaye aliwahi kuifunza Chelsea alikuwa akizungumza kabla ya mechi ya Jumatano ya klabu bingwa ya awamu ya kwanza kati ya timu hizo mbili nchini Ujerumani.
 
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger aliiambia BBC Africa kwamba wachezaji wa kutoka Afrika wamekuwa na athari kubwa katika kazi yake katika kipindi cha miaka 22 iliyopita.
Anasema wachezaji wa Afrika wana ari kubwa, ubunifu, wana nguvu, mbali na ukakamavu ambao sio rahisi kupatikana katika soka.
Amewataja wachezaji wa Nigeria Nwako Kanu, wa Ivory Coast Kolo Toure na shujaa wa Liberia George Weah, aliyewasimamia katika klabu ya Monaco nchini Ufaransa, kama wachezaji watatu waliokuwa na athari kubwa katika kazi yake kama kocha wa timu ya soka.

Wachezaji kadhaa wamechengia ufanisi katika soka ya kulipwa chini ya ukufunzi wake katika timu ya Arsenal.

Alishinda mataji matatu ya Premier, mataji 7 ya FA na kufanikisha timu kufuza kwa ligi ya mabingwa kwa miaka 20 mtawalia.
Kwa mashabiki wengi wa soka, atakumbukwa kwa jukumu lake katika kuleta mageuzi katika mchezo huo Uingereza kupitia mbinu tofauti.
 
Makocha Wengi Waliotamba Mwanzoni mwa Miaka ya 1996s na 2000s Hawana Soko tena Katika Soccer la Sasa Kwani Mbinu Zao Haziendani Na Wakati huu.

Sasahivi Wameibuka Makocha Walioanza Kutamba Kuanzia Miaka ya 2010s (Poch, Sime, Pep, Klopp, Tuchel n.k.) Ndiyo wanaoonekana Wanaendana Na Mbinu za Soccer la sasa.

Kwahiyo Kroenke Kamfanya Wenger kuwa ni Scapegoat kutokana Na Falsafa zake za Kiuchumi.
Trust me! Washabiki Wa Arsenal Watakuja Kumlilia Huyu Jamaa! Hawajui Kocha Ajae Atawafanyia Nini Kwani Mmarekani wa Arsenal Hayuko Tayari Kumleta Kocha Wa Big Budget bali Atatfuta Wa Low budget ili aendelee Kutengeneza hela.
Haya ni Mawazo yako tu..Wangelitaka uyo kocha wa low wangeendelea na uyu uyu Wenger
 
Mourinho on Wenger
“It’s not about regretting, I think your question is a typical question from somebody that was not in this side, you were not a manager, a player, of course you don’t know the way we respect each other even when sometimes it doesn’t look like we don’t, players that get yellow cards and red cards by aggression actions against each other, bad words during the career, the manager is the same thing but the ones that respect more each other are the ones with the problems.

It’s power and ambition and quality against each other but in the end it’s people from the same business and respect each others’ careers, so it happened, what matters for me is the way I respect the person, the professional, the career and I always say that for some the memories short, but for us football people, the real football people, who are the ones inside the four lines, playing, or the managers, or the refs, the others live on us, the football people doesn’t have short memory.

I know what it means, three PL titles and seven FA Cups, what he did in Japan and France, what he brought to French football and what he gave to Arsenal in the period without Premier League, the transition from stadium to stadium, we know what he did.

If he’s happy with the decision, I’m really happy and I hope he doesn’t retire from football.”
 
[HASHTAG]#Bringbackourwenger[/HASHTAG]
IMG_20180422_100242.jpg
IMG_20180422_100215.jpg
IMG_20180422_100157.jpg
IMG_20180422_093742.jpg
IMG_20180422_095043.jpg
IMG_20180422_094630.jpg
IMG_20180422_095729.jpg
IMG_20180422_093803.jpg
IMG_20180422_100011.jpg
IMG_20180422_100107.jpg
IMG_20180422_093605.jpg
IMG_20180422_093555.jpg
IMG_20180422_093533.jpg
IMG_20180422_094517.jpg
 
Nadhani leo The Emirates itafurika fans wa kutosha. Sijui yale mabango ya "Wenger Out" leo yataandikwa nini.
 
Our starting XI
IMG_5457.JPG

Ivi hatuna mfumo ambao unaweza kuwa-accomodate Lac na Auba kwa pamoja?
Leo Ozil,Cech na Wilshere ni wagonjwa.
COYG.....
 
Haya twendeni tukamuage babu yetu...
Team news
Arsenal v West Ham (13:30 BST)
8bd1bcf8-a422-4776-9bfa-20a3a596c2ce.png.jpg
 
tuombe heri maana 'scape goat' kaondoka sasa sijui tutamlaumu nani.
Hapo sasa...
Ila players wamemungusha saba babu, sana sana sana...
Sasa ndipo wataipata fresh...
Wachezaji wazuri, sana tu, tatizo ni ile simple tactic ya kukaba, hata hawafikirihi kwanini timu pinzani wanawakaba vile, kwanini wetu hawapendi kukaba?!
Wavivu sana, na babu aliwadekeza kwenye hili..
 
Hapo sasa...
Ila players wamemungusha saba babu, sana sana sana...
Sasa ndipo wataipata fresh...
Wachezaji wazuri, sana tu, tatizo ni ile simple tactic ya kukaba, hata hawafikirihi kwanini timu pinzani wanawakaba vile, kwanini wetu hawapendi kukaba?!
Wavivu sana, na babu aliwadekeza kwenye hili..

Lawama zote alibebeshwa babu ila kwa hakika wachezaji wamemuangusha sana kuna mechi inabidi ujiulize kwa nini wameshindwa kupata matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom