Arsenal (The Gunners) | Special Thread

lets be fair, arsenal hakustahili kuwa bingwa kwa vile kwanza haina qualities za mabingwa,haina gkeepers,mabeki wa uhakika,midfielder wa uhakika na real strikers.timu nzima ni mbovu hata hii nafasi ya tatu haikustahili ni bahati tuu.
 
duuhh poleni sana washika bunduki..................next game nasubiri kuona jinsi Adebayor atakavyo-behave.............
 
Typical Chelsick no history no dignity, ukiwauliza lini wameanza kushabikia timu ambayo haina historia watakwambia tangu Mwizi Bates alipokubaliana na mwizi mwingine kwa jina Abraham o vick na fweza zake za unga. kukumbatia umafia hii ni criminal offence.


Arsenal baada ya kupoteza mechi ya Spurs focus yote iliondoka kwenye hiki kinyang'anyiro nawashangaa wanaoshadidia baada ya Arsenal kufungwa dakika za mwisho - haikuwa priority sana (angalia kikosi chetu Eastmond nk.) kabla ya mechi ya Chelsick na Spurs ingawa tungependa kushinda. Focus ipo kwenye kukamilisha timu imara na kujaza mapengo yaliyojitokeza kwenye msimu huu.


Whether Manure/Chelsick wakichukua ubingwa mwaka huu ni ubingwa wa bure tu maana hakuna timu ambayo haikupoteza more than 7 games whoever wins. As for Chelseick bora waanze mapema kukamilisha malipo kwa marefa maana bila hivyo hawana kitu. Pamoja na kujiandaa vya kutosha na kukamia mechi ya Spurs one element was missing - fweza.
 
Mmmhh, hapa vipi mboni naona majamvi na mikeka nje? Msiba nani kafwa?
 
Tuonane msimu ujao tukiwa na kikosi imara,Chelsea msijipe matumain sana kwani game zitakazo amua ni Chelsea away kwa Liverpool na Manure away kwa Sunderland na mkumbuke Steve Bruce ni mwanafunzi wa Ferguson nakuhakikishie hapo ni siasa itachezwa na MANURE watakabidhiwa ubingwa kimafia.Munachotakiwa Chelsea ni kushinda game zote tena kwa magoli mengi bila kutegemea Marefarii.Kila la heri Chelsea na Manure kwenye tittle race.
 

Hakuna mchezaji wa maana hata mmoja
 
Jamani jamani, hivi kweli kuna haja ya kuandamani ili Wenger(Mr Bean) aondoke Arsenal? ile aibu ya jana inatosha sana, haiwezekani timu inaongoza 2-0 mpaka dk ya 70 kisha mnapigwa 3-2, mimi sielewi kabisa.Inaniuma sana.Namshukuru Mungu Simba S.C imeshinda kidogo nimejiliwadha, poleni kwa wale waliopigwa kote kote.:target:
 

Mh! hii kali ya mwaka... sasa mkiandamana atajua kweli? mimi nadhani hizi nguvu za maandamano tungezielekeza kwa wale mawaziri wachovu wanamuangusha mheshimiwa rais
 
Mh! hii kali ya mwaka... sasa mkiandamana atajua kweli? mimi nadhani hizi nguvu za maandamano tungezielekeza kwa wale mawaziri wachovu wanamuangusha mheshimiwa rais

Hilo nalo nenoooooooooo....................
 


He wewe kweli mnazi, tukubali tu kwamba hii timu yetu inahitaji overhaul kutoka goalkeeper, centreback,defensive midfield na striker. Wenger aachane na free transfer banaa.
 
Lol!...kuna baadhi ya Arse fans ni damn myopic!..sijui wameanza kuangalia mpira lini?, sie tulishawambia kuwa mbio zenu za sakafuni twajua lini na wapi zitaishia, nyie ni kama ngoma za watoto zile, ikifika 6PM zishaisha, mnatuachia wakubwa twaendeleza libeneke....tehetehe!, as i predicted, mshaanza kumtoa kafara Le Professeur wenu, i said it before, nyie watu wa ajabu sana, mkishinda game mbili mfululilzo, u come here wth a lot of praise kwa AW, leo hii mnamuona ch*ko!..next time mpunguze kuongea sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!, vitendo zaidi,maneno kidogo. Loosers, do you copy?
 

Yaani unavyoongea utafikiri tayari mmeshachukua ubingwa wa EPL...........I see
 

Asante sana bado miaka 24 tu walau tuchukue carling cup!
 
Guys, can't you spare us a little bit tugange maumivu ya tatu kichapo mfurulizo?
 
Asante sana bado miaka 24 tu walau tuchukue carling cup!

[video]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=9568[/video]

Vipi na hawa nao.............Wao ubingwa wa EPL wanausikiaga kwenye bomba tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…