Ule msemo wa kusema "ukimjua jina. ....View attachment 709334
When Arsenal fans think they're about to get rid of you and you pull a result out of nowhere! 😀😀😀😀😀

Hizi beki zitaweza kumzuia troy deeney kweli?
️Wilshere ni mmoja wa mediocre players at arsenal that are overrated just because of his nationality. He should explore other venues now.Tetesi
Beki kisiki wa Arsenal Hector Bellerin, 22, anakaribia kujiunga na Juventus ya nchini Italia. (Bleacher Report, via Mirror)
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere, 26 amesema hajakaribia kusaini mkataba mpya huku mkataba wake wa sasa unafikia mwisho ndani ya muda wa miezi mitatu ijayo. (Independent)
Sidhani kama uongozi unajali, watu wameshanunua seasonal tickets! Mkwanja ulishaingia.Watu mbona wamesusa Emirates ina mapengo kibao
Duh vipi Ozil yeye na mlinda mlango
️