McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Hawajawahi kufunga timu yoyote ya Top 6! Nyinyi ndio wa kwanza.
HBA= BHA=Brighton & Hove Albion
Jamaa wamepaki bombadiaNa Mungu asikie maombi haya
Ok nimesha jifunza...kuna lingine????Jifunze kuelewa sentensi rahisi. Maana yangu tuhamie kutazama man city vs chelsea.
Hivi vipigo huwa vina effects tofauti tofauti...umeanza kuandika hivyo baada ya goli la piliHaaaa haaaaa ivi nimeanza kuandika ivyo muda gani....?duh ngoja niongeze bia kwanza siku ishakua ya ovyo hii
Mshamba wa mpira ni wewe useless uliyekubali kuwa Fans wa useless club like ArsenalNi comment kutoka kwa shabaki mshamba wa mpira....Your comment essentially undermines Arsenal to the lowest level possible.
Kwenye mpira kuna Happiness and Sadness moments...unless unaishi safari ya JupiterTatizo la Arsenal huwa mnafurahia sana mkishinda vimechi vitatu. Mnasahau kuwa babu wenger ni jibu sugu linalohitaji kutumbuliwa. Andamaneni na nyie 26/04
Safari ya Jupiter ni nini?Kwenye mpira kuna Happiness and Sadness moments...unless unaishi safari ya Jupiter
Hazikuwa na tija liliisha kuwa la kuvunda. ...Dk 7 za kujiokoa mhh
Ni safari ya JupiterSafari ya Jupiter ni nini?
Tayari huko....Na Mungu asikie maombi haya
Hasn't Wenger fired yet? When will be fired? Wenger out, Wenger out, Wenger out. Nilishasema nitarudi kikazi kazi akifukuzwa. Nitaendelea kuchungulia hadi hapo atakapoondoka.rubaman msiwe mnakimbia jukwaa lenu mkuu
Ni upepo tuu huo, utapita na mtarudi kama zamani
In Wenger We Trust
Acha ushamba basMshamba wa mpira ni wewe useless uliyekubali kuwa Fans wa useless club like Arsenal
Stupid stupid club in Everything
Acha kundandia Treni kwa mbele pita kushoto kabisaAcha ushamba bas
Mnisamehe kwa kufukua kaburi hiliOG anaenda chelsea David luiz anaingia arsenal,Abu keshapima tayari,Mavnoplas anaingia naye kuimarisha ulinzi.
Yaani sasa ile arsenal iliyomaliza ligi bila kupoteza rekodi inayotamba duniani na haijavunjwa huenda ikatokea.
Bellerin beki ya kulia ,kushoto monreal,mustafa mvunja miguu anafuata,Luiz anatulia kati.Daaah yaani eti laurent sub,metesacker,holding .
Kati hapa anakaa granit xchaka zulu na wilshere hapo ramsey anasugua bench,mipira yote ya nyuma kulia mbele atapokea Ozil kwa bellerin au wilshere anamtengenezea assist Abu na lacazate sasa mhitaryan hatazeeka mapema maana mashetani yalitaka kumuua kwa kumkimbiza ovyo tulia hapa tunahesabu gonga tu hadi ndani ya sita zinapigwa gonga unashitukia gooooooooooooal beki zimegongana na kujifunga zenyewe.
Jamani tuombe uzima toten watakaa,mashetani nao watakaa tuu hakuna beki wa kumkaba Abu na laccazate pale.Man city yeye asubiri maumivu tuna hasira na ushenzi wa refa aliowabeba.
Vikosi viwili imara sasa vimepatikana.
Sanchez man itakuwa kama yanga na okwi walivyopeana talaka.
Karibuni arsenal kwa kandanda la adabu pasi za kasi na uhakika.
Mungu ibariki arsenal,tubariki na mashabiki wake popote tulipo.
SorryInatakiwa mtu amiminiwe nyingi Leo, na kwa mwendo huo nafasi ya 3 au pili itatuhusu mpaka mwisho wa msimu