Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niende Nba pamoja na kua mimi ni shabiki wa aseno lakini hapana hii si halali hasa management haitendi haki kabisa
 
Tulishauliana na pep kipind cha pili tusiwafunge timu gani inageuzwa kama chapati
 
mechi mbili za mwanzo wenger na wanawe walilalamika refa kawabeba city vipi leo hawajalalamika?
 
Mkuu umeongea maneno ya busara sana acha niwatakie matokeo mema hizo game zenu zijazo
 
Hivi bado Wenger aka Mugabe yupo kazini? No wonder alijidai kwamba " thinking about his job is the last thing he does". Hili dingi halina pressure kabisa na wala halijari. Ingekuwa Conte, Zidane, Mourinho et al kala vipigo vizito, board ingekuwa ishaanza kuandaa vikao vya siri.
 
Mkuu mie hata mechi siku hizi siangalii. Babu kaua timu usajili mbovu upangaji timu mbovu mradi majonzi tu. BURE GHALI!
Hata mimi siku hizi nasubiri matokeo tu baada ya mechi,yaani huyu babu anakera sana..
 
Reactions: BAK
Poleni wadau ila tupo pamoja ila mkumbuke aubameyang na mkitaryan walipokuja mliongea sana muwe mnabakisha maneno ya kuongea.
 
Arsenal Tula>Russia
Arsena Sarand> Argentina
Arsenal>England


Jaribu kutumia hata dk 5 kuzifuatilia hizi timu kwenye ligi zao utagundua lawama anazopewa Mzee Mshana anaonewa tu
 
Shukrani Mkuu, timu ina pesa chungu nzima lakini ubahili ndiyo ubahili wale wapuuzi wa Kimarekani hawajui chochote kuhusu football wao wameweka pesa mbele na kudharau kabisa kuhusu performance ya timu.

Pole ndugu yangu najua ni kipindi

Pole sana ndugu yangu najua hali mnayopitia
 
mechi 3 dhidi ya city msimu huu umepigwa zote siyo kawaida ya wenger kabisa hii hahahajajaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…