Leo vipi mkuu? upo kimya sana tatizo nini? utakuwa ulianza kuishabikia hii timu mwaka 2004 ukajua kila msimu hutachezea vichapo
acha kujificha njoo tu vichapo kawaida mkuu.
leo nipo upande wako walau ufute machungu asikupige
hat trick pep.



acha tu, tunaona kama ni usaliti kubet against...ina maana tukipata kipigo, itauma mara 2! 😡🙁😕😎Kuna mijitu bado inaweka hela inabet eti Arsenal atashinda au atatoa droo...muhindi atapiga sana hela zenu mwaka huu kwa unazi wa kij.nga.