Endelea kubetPole sana swahiba,
Mpira tuu huu.
Unadhani hata nilivyobet nimempa Arsenal ???
Pole ndugu.
Asante. Naogopa kupigwa BanMamake.
Haaaahaaaa! Pole mkuu!Pambafu zako....
Hahah hatari sana hiyo kituHivili Yule Bravo (GK) ndiyo ametowa Assist Kwa Goli la Kwanza!! 😀 😀 😀
Yani Pasi moja tu Kutoka Kwa Kipa (Goal Kick) mpaka Goli!!!
Only in Arsenal



Brendan Rodgers could be on his way back to the Premier League - the Telegraph claim he is on Arsenal's shortlist to replace Arsene Wenger this summer. This Is Anfield on TwitterWish him safe return!
Brendan Rodgers could be on his way back to the Premier League - the Telegraph claim he is on Arsenal's shortlist to replace Arsene Wenger this summer.
Wish him safe return!
Brendan Rodgers could be on his way back to the Premier League - the Telegraph claim he is on Arsenal's shortlist to replace Arsene Wenger this summer. This Is Anfield on Twitter
Leo vipi mkuu? upo kimya sana tatizo nini? utakuwa ulianza kuishabikia hii timu mwaka 2004 ukajua kila msimu hutachezea vichapoKwanza una umri gani? Maana washabiki wa Loserfool wengi ni wazee kama wewe ni kijana basi umedandia treni kwa mbele maana jamaa mara ya mwisho kubeba kombe la ligi ya uingereza wachezaji wengi katika kikosi chenu walikuwa hawajazaliwa...... Hahahahahahaha nachekaga sana nikilifikiria hili then nikimuona kijana anajifanya shabiki wa loserfoolish die hard,alafu mkae mjue nyinyi hamjawahi kubeba kitu kinaitwa EPL tafuteni hilo kwanza maana ni aibu kubwa.......
Sorry
mnaachaje kufungwa wakat mnafuga maduduSisi ni wanamichezo falsafa yetu ni kupendana tufunge na kuomba ndugu yetu kipenzi asipigwe
Hat trick.