Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mijamaa huko imefumuliwa na newcastle hahahaha kutwa wapo humu wanarandaranda ila sasa naona dawa imepatikana

Naona umevamia uzi wao mpaka wenyewe wamekimbia
kuna shabiki 1 wa Manure anashinda sana hapa kwetu leo sijamuona kabisa.
 
Lacazette amepata majeraha ya goti ivyo inakadiriwa atakua nje ya uwanja kwa muda wa wiki 4-6
Get well soon Gooner.
 
Mechi yenu Alhamis najua mnacheza saa 10 Alfajiri kwa saa za Norway!
Ratiba za Yuropa kwa kweli ni ngumu sana lkn MTAFUZU hongereni
 

Sawa mkuu
Maneno yako yalitimia
 
Nacheza na PORTO leo usiku
Wewe unacheza na nani?
Kwanza una umri gani? Maana washabiki wa Loserfool wengi ni wazee kama wewe ni kijana basi umedandia treni kwa mbele maana jamaa mara ya mwisho kubeba kombe la ligi ya uingereza wachezaji wengi katika kikosi chenu walikuwa hawajazaliwa...... Hahahahahahaha nachekaga sana nikilifikiria hili then nikimuona kijana anajifanya shabiki wa loserfoolish die hard,alafu mkae mjue nyinyi hamjawahi kubeba kitu kinaitwa EPL tafuteni hilo kwanza maana ni aibu kubwa.......

Sorry
 
Zlatan on Alexis: ''He's smaller than I thought! He was really small, I have played with small players but he's the smallest!'' [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
 


Unaweza Sema Hivyo Hatujawahi Beba Kitu Kinachoitwa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#Carabao[/HASHTAG] lakini Ubao Unasomeka Tumebeba [HASHTAG]#PremereLeague[/HASHTAG] Mara 18.

Kwahiyo Ukiita "Premere League" Basi Tumebeba Mara 18.
Na #FA hicho ndiyo wanachokihesabu, Kubadilisha Jina ligi ya Awala mnamo Mwaka 1992 ikaitwa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] haimaanishi Kuwa Makombe yetu 18 yalifutwa na Ligi kuu ikaanza Upya.
Hata [HASHTAG]#CarabaoCup[/HASHTAG] sijawahi Kuchukua Kwasababu Jina hill limeanzishwa Msimu huu lakini Kombe hilo nimelichukua Maranyingi Kwa Jina la [HASHTAG]#CarlingCup[/HASHTAG]! Na Mara moja kwa Jina la [HASHTAG]#LeagueCup[/HASHTAG]! Kwahiyo Kubadilishwa Jina Kutoka #LC kwenda [HASHTAG]#Carabao[/HASHTAG] Haimaanishi na Makombe yetu pia Yamefutwa.

• Ukweli Usioupenda Ni Kuwa [HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG] ana Makombe Mingi Kuliko Arsenal.

• Liverpool Tumebeba [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Mara 5 wakati [HASHTAG]#Arsen8[/HASHTAG] hajawahi Hata Kuligusa tu likiwa uwanjani.

• Liverpool ana [HASHTAG]#Europer[/HASHTAG] Uefa Cup Nyingi Kuliko Arsen8

• Liverpool ana Europer Super Cup Nyingi Kuliko Arsenal

• Na Aibu Zaidi Liverpool ameshiriki Ligi Ambayo Arsenal Tokea Ianzishwe Haijawahi Kushiriki! Ni League Hile Ya Club Bingwa Ya Dunia anayoshiriki Bingwa Wa UEFA, WA ASIA, WA CAF, WA AMERICA KUSINI NA AMERICA kaskazini.

Hutoweza Kushiriki Mpaka Uchukua UCL jambo ambalo Hata Mjukuu wako hatolishuhudia.

Huwezi Mdharau Liverpool aliyekuzidi Kwa Kila Kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…