Kwakweli pressure hatari na hizi tetesiSioni kama kuna uwezekano hii deal imekufa kifo cha kawaida,leo tena AW amesema wako interested kumleta Auba ila akasema "We're far from being close" na amekubali kua Dortmund wanajua kua Arsenal wana pressure ya kumsajili Auba ukichagizwa na kelele za mashabiki ndio maana wanakomaa ili wavune sarafu nyingi sidhani kama Arsenal watatoa £ 70+
Jonny Evans naona tumepeleka £20 m + Debuchy hii deal inaweza kufanyika,duh i HATE transfer window aiseeee maana kila time unachungulia nini kinaendelea [emoji23][emoji23]
RVP,Cesc,Henry,Toure,Nasri,Vermalein,Sagna,Clichy,Cole na wengine wengiHivi ni mchezaji gani aliyewahi ondoka Arsenal akawa na mafanikio makubwa ya vikombe zaidi ya mshahara wa six figures???
2 assist 1 match?Ni kweli Sanchez ni bomu; mourinho katoa pesa mingi kwa huyo kiazi plus kubadilisha na mkht.. kala hasara pale.
2 assist 1 match?
Duh ndo tushamkosa huyo
Unasuruhisha wivu?2 assist 1 match?
Kuwa mkweli! Assist Ni 1 tu aliyompa Andre Herrera.
Basi wabaki nayeSifongo.....[emoji30]
Sifongo.....[emoji30]
Wenger tayari ana Wellbeck,Giroud & Lacazette ulikuwa unaamini kuwa atamsajili Auba hii January ?Sifongo.....[emoji30]
Kwa hiyo unamaanisha Sanchez ni mzigo? Huu ushabiki huu, wakati mwingine ni bora kutoandika.Ni kweli Sanchez ni bomu; mourinho katoa pesa mingi kwa huyo kiazi plus kubadilisha na mkht.. kala hasara pale.
Aube anakujaje timu ambayo hata nafasi ya nne imeshindikana, yaani umpeleke akacheze uefa Alhamisi!!we na arsenal MNA tofauti gani!?..kombe ambalo utachukua labda fa..mbali na hapo ni bure tu
Walivyoondoka hao maisha hayakusonga mbele, mna kakikombe kamoja tu toka waondoke tena na FA. Shida sana.Aliondoka Henry maisha yakasonga mbele, aliondoka vanpasie maisha kama kawa, fabregas sasa itakuwa huyo.
Chuo cha vipaji na arsenal haiishiwi daima.
Fanyeni faster, Mou anataka kumbeba hata kwa 80.Duh sasa nani wako tayari kumnunua kwa hiyo 70