makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,754
- 103,692
Naona moyo wa mikhy kama haupi vile arsenalMikhy ni mchezaji mzuri sana, atacheza vizuri sana hapo Arsenal. Deal hii Arsenal ni winner!
Naona moyo wa mikhy kama haupi vile arsenalMikhy ni mchezaji mzuri sana, atacheza vizuri sana hapo Arsenal. Deal hii Arsenal ni winner!
Ameathirika na kipindi kigumu alichopitia akiwa United, atakaa sawa tu na mtaona uzuri wake.Naona moyo wa mikhy kama haupi vile arsenal
Sijui, muda utaongea na kama akiwa sawa mikhy ni faida kubwa kwetu.Ameathirika na kipindi kigumu alichopitia akiwa United, atakaa sawa tu na mtaona uzuri wake.
Tetesi
Borussia Dortmund inamtaka mshambuliaji raia wa Ufaransa wa timu ya Arsenal Olivier Giroud, mwenye umri wa miaka 31, kama sehemu ya kubadilishana na mchezaji raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, mwenye umri wa 28, - au wasitishe mpango huo hadi msimu wa joto. (Mirror)
Thearry henry