Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Thas what you were told. Ask your boss which is the best team in London? Chelsick you are miles away with your group of pensioners. How much money have you put aside for the next referee?
If you were spanked twice by the Chelsea oldies, then it only goes to show you how bad is your Arse team. There's a huge gulf in quality between Chelsea and Arse, you gonna be in pain for long time to close it.
 
He won't sleep today, he is celebrating Arsenal lost to Tottenham. LOL.

By the way, I hope you enjoyed my pics today, I know it's your specialty but I tried my best. Can you do me a favor and put the one of Rose taking that famous shot, it's on your favorite paper, The Sun....hhahahahaha.
G90!

article-1266063-0923204F000005DC-203_468x270.jpg


Dynamite: Danny Rose fires Tottenham ahead with a brilliant volley
 
do ngoma ya mtoto ndio imeshalala hivyo, tutaonana mwaka kesho baada ya kumnunua chamakh!
 
poleni sana washika gobore,

polen sana, mebaki na risasi za mpira! katu haziui
 
Jamani jamani, kweli upenzi wa mpira mbaya hasa kama chama lako kama Arsenal F.C likiwa halijui kucover gap.Jana bwana tulianza game fresh na kweli mpoki na rosicky wakawa wanaleta matumaini ya kupiga goli.Sasa mambo yakaharibika alipo umia TV na kuingia Masawe ebwanaeeeeeeee yule Masawe ni popopo mbaya.Goli la kwanza ni la Alminia na goli la pili uzembe wa mabeki, inaniuma mbaya,halafu huyu mtoto Bertiner hivi kweli si afadhali mara mia ya John Boko? yaani yeye na kipa anapiga kashuti ka mtoto, jamaniiiiiiiii inaniuma kweli kweli. Na huyu Mr Bean(Wenger) hataki kufanya sub mapema, Walcot na Van wangeingia mapemaaa tungeshinda game ya jana. Daaaaaaaa usingizi sikupata maana Man U wamefurahi mbaya. Mwisho tumepigwa 2-1.Inaniuma wadau.
 
Kweli Man U ni jinamiza la wengi, badala ya kujutia pumba zenu jana unatuwaza sisi? pole sana lakini usijali hayo yote uliyoyaona na kuyataja hapa sio makosa ya vijana wenu, NDIVYO WALIVYOAMBIWA WAFANYE NA HUYO Mr. Bean, tehee umanicheksha hapa ndio kwaaaanza nimevuta hizo sura na kuzifananisha......

The world of SOCCER is MAN U against OTHERS
 
Mkuu ndio umeenda kufungua thread nzima kuweka duku duku lako? Si ungekuja kwenye jukwaa letu kule huiweke kuliko kuwapa watu nafasi ya kuongezea chumvi.any way pole mkuu matokeo yetu yanaendana na bajeti yetu.
 
Aisee!Wakulu poleni sana huu msiba!
Nasikia Wenger kasema tumtegemee Mungu,kufa hamna mmoja!!!!!????DAH
 
Arsenal wamekuwa na wachezaji wengi majeruhi na kama walioona hii mechi they know what to expect from Arsenal ni timu kubwa ambayo hainunui ushindi. Arsenal missed more than seven key players than any other team in the campaign and its difficult. Playing without a striker like Van Persie for almost the whole season is a big plus for Gunners, only people who support the Mafia team or they're mafioso themselves will not know the difference.

Good season for the Gunners and nothing lost there. We've got few matches to end the season but at least we know our destiny.
Hivi visingizo havina msingi kila timu imepata majeruhi
Chelsea-Petr Cech,ACole,JCole,Bosigwa,Essien,Drogba
ManU-Van de Sar,Rio,Vidic,Anderson,Owen,Hargeaves,Rooney,Macheda
Liverpool-Johnson,Aquilani,Gerrard,Torres,
Spurs-King,Defoe,Lennon,Mondric,Lassong
Ukweli ni kwamba kwa wachezaji mlionao ni ngumu sana kuchukua ubingwa
 
Poleni sana washika bunduki (hivi zina risasi?). Mwakani tafuteni nafasi ya pili kabisa.
 
Poleni sana washika bunduki (hivi zina risasi?). Mwakani tafuteni nafasi ya pili kabisa.

I didn't wanna say it, but it is what it is.Leo Arsenal wangetia kitu najua hata Man U mngekua
mavi kitambarani.....but they chocked!!!!

Arsenal u let me down!
 
Arsenal can forget Premier League title - Arsene Wenger
Arsenal manager Arsene Wenger said his side have to "forget the title race" after their 2-1 defeat by north London rivals Tottenham.

The Gunners are now six points behind Premier League leaders Chelsea with four games to play.

"We must forget the title race and try to finish as high as we can," he said. "It's unlikely but you never know.

"It shows that we're not mature enough because you can't afford to lose these games if you want to win the league."True!
Namkipigwa na City 24/April ndio Kushnehihihihi mjaribu tena mwakani
 
Mkuu ndio umeenda kufungua thread nzima kuweka duku duku lako? Si ungekuja kwenye jukwaa letu kule huiweke kuliko kuwapa watu nafasi ya kuongezea chumvi.any way pole mkuu matokeo yetu yanaendana na bajeti yetu.

Kaka we acha tu, jana bwana babu Wenger kaniudhi sana na kitu kingine hela ipo mzazi ila huyu babu mchumi sana, sijui ni mpare huyu maana hula ugali kwa picha ya samaki wakati ana m kadhaaa benki so yeye anafurahia makombe ya zamani yaliyo kwenye museum yetu.Achape lapa bana.
 
Kaka we acha tu, jana bwana babu Wenger kaniudhi sana na kitu kingine hela ipo mzazi ila huyu babu mchumi sana, sijui ni mpare huyu maana hula ugali kwa picha ya samaki wakati ana m kadhaaa benki so yeye anafurahia makombe ya zamani yaliyo kwenye museum yetu.Achape lapa bana.

mchumi kuliko lipumba aisee! mimi hasira zangu nilizimaliziaga kwenye ugali, chama limefuja sana jana.Acha tusubirie mwakani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom