Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Ishapita hiyo...hahaaaaaaaaaa...Chelsea kachukua ubingwa mapemaaaaaaaaaaaBora van persie angeanza tu.
Ishapita hiyo...hahaaaaaaaaaa...Chelsea kachukua ubingwa mapemaaaaaaaaaaaBora van persie angeanza tu.
tulipokuambia kuna kazi ulihamaki na kuuliza kazi gani? si unaiona sasa. Tena Crouch na Bassong wanaingia kuwamalizeni sasa.
Ishapita hiyo...hahaaaaaaaaaa...Chelsea kachukua ubingwa mapemaaaaaaaaaaa
![]()
Tottenham's Danny Rose (not in picture) scores the opening goal
![]()
Kitale ndio hicho wenye wivu wajinyonge.
Tulitakiwa tushinde game ya leo ili tuweke hai matumaini ya ubingwa...lakini Wenger.....aaaaaaaaaargh..Akome tabia yake ya ubahili na kuwabeba wabeba wafaransa wenzake akina Sylivestre
Chelsea anamechi mbili ngumu za ugenini dhini ya Spurs (Jumamosi) na Liverpool (Mei 2). Nadhani bado vita ni kali kati ya Man Utd na Chelsea.
Ishapita hiyo...hahaaaaaaaaaa...Chelsea kachukua ubingwa mapemaaaaaaaaaaa
Usikate tamaa jirani, subiri vipimo!...lol
Lol..Ngosha pole bana na another trophyless season..lakini nilishasema mapema hamkutaka kusikia. Hii ilikuwa kaa barua inayosubiriwa kusainiwa, na leo Spurs wameanguka saini..lol
Raha sana hapa hakuna kelele! Bwabwa aka Wacha100 yuko wapi?
Chelsea anamechi mbili ngumu za ugenini dhini ya Spurs (Jumamosi) na Liverpool (Mei 2). Nadhani bado vita ni kali kati ya Man Utd na Chelsea.
Halafu Peasant hizi picha tamu kweli, yaani natamani nisiufunge huu ukurasa!.