bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,881
Kidole cha Chuji usiyeyushe!
kiliwaponza Mrwanda na Okwi
Kidole cha Chuji usiyeyushe!
Masa kuna Breaking News nyingi kweli kwenye Jukwaa la Siasa.Kapumzikie kule.
kiliwaponza Mrwanda na Okwi
Mtu akikuzawadia kidole cha Chuji unamwelewaje?
Masa kuna Breaking News nyingi kweli kwenye Jukwaa la Siasa.Kapumzikie kule.
Shibiriti Ng'wana SuzanaTeh teh teh kwani mimi nataka ubunge? Haya bana nawahi pub ole wenu mfungwe leo mtajua jina langu la kati!
Hivi wakuu inamana injury ya Song ilikuwa serious sana? Kuna ka utata jinsi injury yake ilivyo chukuliwa na wazee wa medical au ni mimi tu wasi wasi wangu wa pengo lake? Bht thanks for your support.
Game ya leo ,kazi mnayo
Kazi ipi????
All the best arses.... muwe mabingwa jamani kupunguza kelele za wanunua mechi!!
Leo macho yote kwa van persie I hope wenger atamuingiza at the right time kama sio first half.
utaiona bado misaa miwili tu.
All the best arses.... muwe mabingwa jamani kupunguza kelele za wanunua mechi!!