Masuala ya kurukia rukia post za wanaume utapigwa bomba we qumer, endelea kuleta shobo kishamba.humu hatuwekagi manure kwenye bustani umesikia we zongwe...
mkuu penseli wanazichomeka wapi?Kabisa, nilikuwa nasikia predictions na odds kwao, wengi walitabiri tunafungwa tena leo...
Naona penseli walizochonga kwa ajili ya kutuponda leo wazichomeke kule kwenye giza...
Naona dili la abemuyang linakufa taratibu wenger fala sana
Mikhi hana ujanja, mkataba wake utafidiwa na Net Profit, ila Pierre-Emerick Aubameyang nina wasiwasi, Emirates wana tabia ya ku balance the books ile mbaya..Ila pressure ya Gooners labda itaweza kumleta..Nilisema mwanzoni kabisa tatizo wanataka wachezaji kwa bei ya biscut ndio matokeo yake wamepeleka ofa ya kibwege Dortmund wamebidua meza ya majadiliano....nimeona picha za Mikhi akiwa London ingawa sina uhakika na kama ni za kweli au wahuni washatengeneza.
kikosi chako kama hayupo wilshere ni batili
anamzidi hadi pogba!View attachment 679692This wage is too much..
Bado wa kutoka Dortmund...
Huyo ndio tunamsubiri kwa hamu,tumechoka kuwa na strikers vimeo akina WelbeckBado wa kutoka Dortmund...