Wewe wasema mkuuTupeni huyo mtoto tuwape shaw, darmian, na blind tutawapa na fellain kama nyongeza. Na mkihitaji msaada wa kuhamisha vyombo vyao tutawasaidia pia free of charge.
Mkuu huyo Maitland ni first class..Wale kina iwobi,chambers,maitland niles,per, n.k ni wachezaji wa kalabao.....
Duh ngoja tusubiri..
Duh....!
Naona Deal inaweza kua Dirisha kama kawaida yetu,nasikia jamaa kamaindi baada ya comment ya AW kuhusu Auba kuja Arsenal kuna tetesi kua wakala wa Auba ambae ni baba ake kasogea London kuweka mchongo sawa na Arsenal inabidi wavunje rekodi yao ya usajili (inaaminika £70 m na OG anaweza kwenda kwa mkopo pia pale Dortmund)
Binafsi nachukia sana tetesi hasa zinazotuhusu kwa kua naifahamu timu yangu hua naamini nikiona DEAL DONE tu tofauti na hapo unaweza ufe kwa shinikizo la damu
Duh ngoja tusubiri..
Mchezaji mwenyewe nasikia kesho kaachwa kwenye squad ya bundersliga...
Sijui ni haya mambo ya transfer,au labda aligoma wakamsuspend ila yote tutayajua vzr tu muda si mrefu...
Hhhhhhhh..,haya ngoja tusubiri..Muda ni hakimu bora kabisa acha tuvute subira,ila mpaka nione kashika jezi yetu mbele ya waandishi wa habari hapo ndio nitaamini tofauti na hapo ni kupeana jaka moyo tu.
Yawezekana, hela ipo, uwezo upo, ni babu tu kuamuwa..
View attachment 679692This wage is too much..
Arsenal na AW wana wage structure ambayo inaitwa "traditional" na mara nyingi hawataki kuibadili ili ku-balance timu maana bado kuna kundi kubwa la wachezaji wana-earn mshahara wa kawaida ndio maana wanaweza kukubali ada ya uhamisho ila wakashindwa kwenye wages ivyo sidhani kama Mikhi atavuta huo mpunga na ikitokea ivyo basi Ozil kwenye mkataba wake mpya(wanadai ana-extend very soon) atakua na mshahara zaidi ya huo wa Mikhi na pia inawezekana pia tumeanza ku-compete na giants katika uchumi.
Huyu jamaa ni mzur sana.....View attachment 674633
Arsenal's new Greek centre-back Konstantinos Mavropanos.