Mpira umedoroa sana, kama vile hatuna confidence, au tunaogopa kushambilia..
Ka timu kka fresh, ila hatuna ile kasi na ubuniifu mbele, ka timu kako kama ka middle table kabisa, ila babu anaona sawa, hakuna cha title, chp lg wala FA cup, hata League Cup sahau..