Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

d4137fc970eb7fec10b67c59cd7dc98f.jpg

Asubuhi njema kwa hisani ya Not. Forest
64fa09e89cbd61d2519c348cf9675c3a.jpg

ARSENAL WAPOTEANA MSITUNI.
 
Tujikumbushe zile Goli 4 kwa hisani ya Msitu Wa Mabwepande ( Mabwepande Forest)
 
Attachments

  • 1515390591011.jpg
    1515390591011.jpg
    75.3 KB · Views: 30
  • 1515390599155.jpg
    1515390599155.jpg
    65.3 KB · Views: 29
  • 1515390606660.jpg
    1515390606660.jpg
    54.8 KB · Views: 32
  • 1515390614641.jpg
    1515390614641.jpg
    80.5 KB · Views: 31
Tujikumbushe zile Goli 4 kwa hisani ya Msitu Wa Mabwepande ( Mabwepande Forest)
Hii mishikaki ya man u sijui inafuata nini huku?????? Huko husikilizwi na mashabiki wenzio kwa ushabiki uchwara halafu unakuja kutupigia kelele huku!!!!
Tulizana na domo lako!!!
 
Define forest.
Forest is the team which beats arsenal 4 goals.
Alvaro Morata ataiwakilisha Spain katika fainali huko Russia 2018...
Ataiwakilisha Spain katika fainali za Miss World zitakazofanyika jijini Moscow nchini humo...
Atasindikizwa na watu hawa....Antonio conte,tiumoe bakayoko pamoja na mkuza hips eden hazard..
 
Gunners wamekubali kumpoteza Alexis uhamisho wa Januari na wameshaitaarifu City kuwa wanataka kiasi kisichopungua £35m kwa ajili ya mchezaji huyo wa Chile.
City hawapo tayari kutoa kiasi hicho lakini vyanzo vimeiambia Goal kuwa vinara hao wa Premier League wanaamini wataweza kuepuka kumkosa kama ilivyotokea majira ya joto kwa kumfunga kwa mkataba wa muda mrefu kabla ya kufungwa dirisha la usajili mwisho wa mwezi huu.

Vyanzo vilivyo karibu na Alexis vimeainisha kuwa kuna uwezekano mkubwa dili litafanikiwa, na kwamba mchezaji huyo anatamani kuhama haraka iwezekanavyo.
Mkurugenzi wa michezo wa City, Txiki Begiristain amekuwa kwenye mazungumzo na Gunners Ijumaa na Jumapili akitafuta namna ya kufanikisha mchakato ho.
Vyanzo vya Etihad vinadai kuwa wanaamini wataweza kufanikisha uhamisho huo kwa takribani kiasi cha £25m.

Kuna hofu kuwa Arsenal wanaweza kujaribu kuchelewesha dili, kama walivyofanya majira ya joto. Lakini wanatambua kuwa mchezaji huyo anataka kuondoka na wasipomuuza sasa ataondoka bure mwisho wa msimu.
Alexis Sanchez aliachwa kwenye kikosi kilichofungwa na Nottingham Forest Jumapili, ambapo Gunners walinyukwa 4-2. Hiyo inaweza kumruhusu kuichezea City kwenye Kombe la FA, ikiwa dili litakubaliwa.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile anaweza pia kuingizwa kwenye kikosi cha Ligi ya Mabingwa. Klabu inaweza kusajili mchezaji mmoja tu ambaye amewahi kucheza Ligi ya Europa hatua ya makundi kuelekea hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa.
Maendeleo ya sasa ya City kuhusu usajili wa Alexis ni miongoni mwa sababu zilizowafanya kuanza kupotezea mpango wa kumsajili beki wa kati wa Real Sociedad Iñigo Martinez.
Martinez ambaye pia amecheza Ligi ya Europa angeweza kuingia kwenye kikosi cha City kwenye kampeni za Ulaya kama watamsajili Januari, lakini Blues wanaona ni heri kumuingiza Alexis kwani wanaamini ataleta mabadiliko makubwa zaidi katika muda uliobaki msimu huu.
 
Ozil ambaye yupo kwenye mwaka wake wa mwisho , amegoma kuongeza mkataba mpya pale Emirates na gazeti la Mirror limesema kwamba Mourinho amepewa ruksa ya kuzungumza na nyota huyo mwenye umri wa miaka 29
Gazeti hilo pia limesema kwamba Mourinho amepanga kutumia paundi milioni 80 kwa mwezi huu wa Januari, na anajiandaa kujidiliana na Gunners kuhusu bei ya kulipa kwa ajili ya nyota huyo
Wenger ana nia ya kumbakiza North London nyota huyo wa Ujerumani, licha ya Ozili kubakiza siku chache kwenye mkataba wake

Bayern Munich na Paris Saint Germain pia zimekuwa zikuwania Mesut Ozil
 
Our team!!!!!!! Numbisa unakujaga huku kutuliza2.....inamaana sisi hatusajili!!!!!!!
Wenger afanye mchakato....mwarabu abaki.....Sanchez pumbav achanje mbuga...
Gunners wamekubali kumpoteza Alexis uhamisho wa Januari na wameshaitaarifu City kuwa wanataka kiasi kisichopungua £35m kwa ajili ya mchezaji huyo wa Chile.
City hawapo tayari kutoa kiasi hicho lakini vyanzo vimeiambia Goal kuwa vinara hao wa Premier League wanaamini wataweza kuepuka kumkosa kama ilivyotokea majira ya joto kwa kumfunga kwa mkataba wa muda mrefu kabla ya kufungwa dirisha la usajili mwisho wa mwezi huu.

Vyanzo vilivyo karibu na Alexis vimeainisha kuwa kuna uwezekano mkubwa dili litafanikiwa, na kwamba mchezaji huyo anatamani kuhama haraka iwezekanavyo.
Mkurugenzi wa michezo wa City, Txiki Begiristain amekuwa kwenye mazungumzo na Gunners Ijumaa na Jumapili akitafuta namna ya kufanikisha mchakato ho.
Vyanzo vya Etihad vinadai kuwa wanaamini wataweza kufanikisha uhamisho huo kwa takribani kiasi cha £25m.

Kuna hofu kuwa Arsenal wanaweza kujaribu kuchelewesha dili, kama walivyofanya majira ya joto. Lakini wanatambua kuwa mchezaji huyo anataka kuondoka na wasipomuuza sasa ataondoka bure mwisho wa msimu.
Alexis Sanchez aliachwa kwenye kikosi kilichofungwa na Nottingham Forest Jumapili, ambapo Gunners walinyukwa 4-2. Hiyo inaweza kumruhusu kuichezea City kwenye Kombe la FA, ikiwa dili litakubaliwa.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile anaweza pia kuingizwa kwenye kikosi cha Ligi ya Mabingwa. Klabu inaweza kusajili mchezaji mmoja tu ambaye amewahi kucheza Ligi ya Europa hatua ya makundi kuelekea hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa.
Maendeleo ya sasa ya City kuhusu usajili wa Alexis ni miongoni mwa sababu zilizowafanya kuanza kupotezea mpango wa kumsajili beki wa kati wa Real Sociedad Iñigo Martinez.
Martinez ambaye pia amecheza Ligi ya Europa angeweza kuingia kwenye kikosi cha City kwenye kampeni za Ulaya kama watamsajili Januari, lakini Blues wanaona ni heri kumuingiza Alexis kwani wanaamini ataleta mabadiliko makubwa zaidi katika muda uliobaki msimu huu.
 
Mkisajili ntaleta habar hio mkuu

Back
Top Bottom