Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Nipo hapa simu yangu ilizima...nikusaidieje...Kuna kajamaa kalianza vizuri sana kutoa updates ghafla kakapotea, nadhani katakua kalipigwa Roba huko kalikokua
Nipo hapa simu yangu ilizima...nikusaidieje...Kuna kajamaa kalianza vizuri sana kutoa updates ghafla kakapotea, nadhani katakua kalipigwa Roba huko kalikokua
Forest 4 Gunners 2Naomba matokeo mkuu mmeshinda ngapi??.
Umeshindwa kumsaidia wenger mbinu za kuwafunga Forest, unakuja kwangu na 1200 zako hizo kuniuliza unisaidieje? Una cha kunisaidia wewe?Nipo hapa simu yangu ilizima...nikusaidieje...
Sasa umeniulizia wa nn???? Fala nn ww!!!!Umeshindwa kumsaidia wenger mbinu za kuwafunga Forest, unakuja kwangu na 1200 zako hizo kuniuliza unisaidieje? Una cha kunisaidia wewe?
Unaongea rubbish!!!!! Hujajishtukia tu bado???? Ulimwona Wenger anawakoach wachezaji leo????Tuwe wakweli, Arsenal haiwezi kuchukua kombe lolote msimu huu, ikiwa chini ya Wenger. When you get old, your level of thinking dwindles down. He knows he cannot win epl and Europa league, even his chance of competing for top 4 is minimal, why field incompetent rubbishes. Kiukweli, wachezaji wa Arsenal wenye asili ya uingereza, ni takataka katika timu.
Marudio kwani umesikia basketball hii.. pole sana hakuna marudio hapo ungetaka marudio mngetoka sare lakini kama ukipigwa ndio umetoka hiyoMechi kama hizi ni za kumaliza mapema kama man u na wengine walivyofanya sio kujiongezea tu idadi ya mechi zisizo za msingi sasa kapigwa goli zote hizo na mechi ya marudiano sidhani kama wanaweza kurudisha kirahisi hivyo.
Uefa ndogoHivi huyu Wenger kile kikosi cha kwanza anakifanyia nini na wakati anajua hana chake kwenye ligi au ni kwann hakuchukua hata wachezaji wawili awaongezee hawa watoto
Maneno ya mkosajiTumechoka sasa, kila siku FA CUP wanabeba Arsenal tu kwani team nyingine azipo? bora tumefungwa
sasa wewe ulitaka nisemaje? ndio tupumzike wachukue wengine ikiwezekana wafikie record yetu ya kubeba mara 13Maneno ya mkosaji
Kuna sehemu nimetaja jina lako we aunt? Hasira za mlichofanywa huko forest usiniletee mimi hukuSasa umeniulizia wa nn???? Fala nn ww!!!!
Limegonga nyuma yako likatoka nje!!!Kuna kila dalili hii mechi arsenal anashinda wanashambulia balaa.
Goal dikika ya 99 anafumua shuti kali pale Nwanko Kanu toka Nigeria sasa arsenal wanapata goli la 5 hivyo basi arsenal kaondoka na ushindi wa goli 5 madogo 4.
Ngoja tumuulize mwalimu kashasha analizungumziaje lile shuti la Kanu.
Aliyekuwa akitoa updates ni nan???? Halafu kwa nini haukusema tangu mwanzo kwamba huongei na Mimi???? Usilete dharau za kingoko hapa!!!! Peleka huko kwenuKuna sehemu nimetaja jina lako we aunt? Hasira za mlichofanywa huko forest usiniletee mimi huku
Unaongea rubbish!!!!! Hujajishtukia tu bado???? Ulimwona Wenger anawakoach wachezaji leo????