Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

5c8bd1e94be09c0c62ed1ac6125d07f0.jpg
Hivi hapa kuna timu inashiriki UEFA????!!!!!!!!
 
mechi ya liva na arsenal napendaga kuangalia kwasababu huwa hawaogopani chochote kinaweza kutokea saa yeyote
 
Kwa Liverpool Gomes amechomesha sana, arsenal kuna beki mfaransa Laurent kolsiern jamaa mtulivu sana, nadhani makosa yanayotokea ni kukosa partnership nzuri na beki Wa kati
 
Tetesi
Ajenti wa Olivier Giroud atasafiri kwenda London wiki hii kwa mazungumzo kuhusu hatma ya mshambuliaji huyo wa Arsenal wa miaka 30. (Mirror)
 
Tetesi
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Arsenal, Jack Wilshere, 25, yuko kwa orodha kwenye orodha ya kombe la dunia yake Gareth Southgate baada ya kurudi katika kikosi cha kwanza cha Gunners. (The Sun)
 
Tetesi
Arsenal wamepiga hatua mbele ya Manchester United na Chelsea katika mbio za kumpata wing'a wa Bayer Leverkusen Leon Bailey 29. (Mirror)
 
Tetesi
Ajenti wa Olivier Giroud atasafiri kwenda London wiki hii kwa mazungumzo kuhusu hatma ya mshambuliaji huyo wa Arsenal wa miaka 30. (Mirror)

Giroud OUT kwa 6 weeks(hamstring) ataonekana tena Feb ivi ivyo dili zote zimebuma rasmi.
 
To be fair hivi Lukaku si bora hata super sub wetu Giroud ....
Morinyo huwa anavizia tu kufunga hana mpira wowote wa starehe. Game ya arsenal alipaki basi akalala na juu na ninaiona Man United nje ya Top four kwa kuwa haiwezi kumaintain matokeo yake huku wakihitaji mafanikio makubwa mapema.
Man inakufa taratibu.
 
To be fair hivi Lukaku si bora hata super sub wetu Giroud ....
Am not so sure, Lukaku mzuri sana, tatizo ni formation ya timu, kucheza peke yako mbele kazi, na labda anayecheza naye hawa click..
True they are no longer a threatening team. At any time t wanaweza fungika....
True, tushawajuwa, domo kaya amezidi kupenda kuwa defensive, ina mcost, anawaharabia timu yao maskini..
 
Back
Top Bottom