Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Sawa let's waitNaona poa tu kama itakuwa hivyo
Sawa let's waitNaona poa tu kama itakuwa hivyo
Ila tukiwachezea kama Man yuu Leo itakuwa soka safi na magoli maana Hawa huwa wanafunguka kuliko wale wapak basi
mzuri, tusiogope wala nini, kwanza tuna ngeu za ugenini nyingi tu, tukifungwa poa, tukishinda safi zaidi..
our lineup against Liverpool View attachment 657276
It's okaymzuri, tusiogope wala nini, kwanza tuna ngeu za ugenini nyingi tu, tukifungwa poa, tukishinda safi zaidi..
tuwe kama dr. shika, full of confidence popote mlipo, its just another game...
duh...!acha tu aisee,,,ngoja tuone,,me niljua kati atapga mustaf na kocienly then monreal na bellerin ndo wapge pemben kumbe mzee kaamua kukomaa na uyu dogo tu..Niles ana balaa leo na vile viberenge duh ngoja nimuone kwanza.
duh...!acha tu aisee,,,ngoja tuone,,me niljua kati atapga mustaf na kocienly then monreal na bellerin ndo wapge pemben kumbe mzee kaamua kukomaa na uyu dogo tu..
Duuhh!! Babu katika ubora wakeduh...!acha tu aisee,,,ngoja tuone,,me niljua kati atapga mustaf na kocienly then monreal na bellerin ndo wapge pemben kumbe mzee kaamua kukomaa na uyu dogo tu..

️