Tutafuta uteja tumnywe supu jogoo kabla ya Christmas au tutaendelea kuwa mdebwedo mbele ya Jogoo?
Asaidie kwel kwelGame ya leo hii!!!!!!!!
Mungu atusaidie
Hawez kutupiga mara 2 yule.Asaidie kwel kwel
Ila tukiwachezea kama Man yuu Leo itakuwa soka safi na magoli maana Hawa huwa wanafunguka kuliko wale wapak basiRecently hawa Liva wamegundua panic button yetu basi wakibonyeza tu unashangaa tunapoteana tu tukija kushtuka tumepigwa 3+ ivi duh.
Kabisa yaani pressure iko juuuLiva anatupiga kwa makosa yetu ya kibwege ila kama tukitulia basi leo kazi wanayo.
Naona poa tu kama itakuwa hivyo