Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

f9303f5b424dfaa0b32c0303058aa2df.jpg

Kwa wenzetu ndo kwanza kumekucha
 
[HASHTAG]#coyg[/HASHTAG]
Twazidi kusonga mbele..Ila media kama kawaida yao, kama hawaoni vile?!...
To Carabao (Kalagabaho) Semi Final Cup...
Theo Walcott sijuwi hatima yake, kwa kweli leo alikuwa garasa kabisa...
 
Tetesi
ARSENAL KULIPA €48M KUMSAJILI LOZANO


Arsenal wapo tayari kutoa €48 milioni kwa ajili ya nyota wa PSV Hirving Lozano, kwa mujibu wa habari kutoka Mexico.
Lozano anacheza Eredivisie msimu wake wa kwanza na ameshafunga magoli 10 na kutoa pasi sita za magoli katika mechi 15 tu msimu huu, akizivutia Gunners na Everton.
 
Tetesi
ARTETA APANGWA KUWA MRITHI WA WENGER


Mikel Arteta ndiye anayeweza kupewa mikoba ya Arsenal kumrithi Arsene Wenger, kwa mujibu wa Daily Telegraph .
The former Spain international is currently working at Manchester City under Pep Guardiola, but is held in high regard by the Gunners.
Wenger's current contract expires in 2019, and Arsenal are working up a shortlist of replacements, with Arteta near the top of the list
Mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Hispania kwa sasa anafanya kazi Manchester City chini ya Pep Guardiola, lakini anapewa nafasi kubwa na Gunners.
Mkataba wa Wenger unafikia mwisho 2019 na Arsenal wameanza kuangalia makocha wanaoweza kuwa mbadala wake, Arteta akiwa wa kwanza kwenye orodha.
 
Tetesi
ARSENAL INATAKA KUMSAJILI DAVID LUIZ


Arsenal wameandaa kitita cha £30milioni kwa ajili ya beki wa Chelsea David Luiz, kwa mujibu wa habari kutoka Daily Express .
Luiz ameichezea Blues mechi nane tu msimu huu Ligi Kuu Uingereza, baada ya kushindwa kumshawishi Antonio Conte.

Inafahamika kuwa mahusiano yao hayajapona vizuri, na Arsene Wenger sasa anavutiwa kuipata saini ya Mbrazili huyo.
Imeripotiwa kuwa Luiz ni shabaha ya Jose Mourinho na Manchester United, kadhalika Juventus na Real Madrid.
 
Aliyekuwa kiungo wa kati wa Arsenal Mikel Arteta ameorodheshwa miongoni mwa wakufunzi wa siku zijazo wa Arsenal huku klabu hiyo ikiendelea na mipango ya mkufunzi atakayemrithi Wenger baada ya kuondoka kwake. (Telegraph)
 
Mchezaji kacheza miaka 10 hapo Arsenal hana mafanikio yoyote eti unataka kumfanya kocha. Fikirieni nje ya box bhanaàaa
 
101414e3a87728c6207321585841c52b.jpg
Dsthrrjtbdgfgurg!!!!!!!!!!
Yaani city wanampa huyu dogo
Mi nilitegemea tutapewa sisi
 
Ni miamba wa London Chelsea na Arsenal kukutana Kombe la Carabao nusu fainali hatua ya nne za mwisho.
Vinara wa Ligi Manchester City wataikabili Bristol City ya daraja la chini, ambao walifanikiwa kuinyuka Manchester United Jumatano.


Chelsea waliongoza kwa kiwango kikubwa mechi yao dhidi ya Bournemouth, lakini goli la dakika za majeruhi kutoka kwa Dan Gosling liliwalazimisha kucheza muda wa ziada, bali goli la dakika za majeruhi kutoka kwa Alvaro Morata liliwapa ushindi Blues kutinga nusu fainali.
Arsenal walikuwa na ahuweni zaidi kwani walishinda 1-0 bila taabu dhidi ya West Ham Jumanne.


Timu za hatua ya nusu fainali zitacheza mechi ya kwanza Januari 9 na 10 na mechi ya marudiano Januari 23 na 24.
Washindi watacheza fainali kwenye uwanja wa Wembley Februari 25.
 
Back
Top Bottom