Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Castle light imekuwa ya Moto ghafla....Rise in temperature has increased exponentially from no where....kufungwa kubaya wajameni
 
Yaani tulitakiwa tuwe tumefungwa 3 mpaka sas...
Xhaka bomu, Sanchez bomu, Bellerin bomu..Hovyo kabisa..
 
Pairing ya Wilshere na Xhaka haifanyi kazi, Sanchez na Iwobi just poor! Ozil peke yake hawezi kumlisha Lacazete no wonder haonekani kabisa.
Liverpool wangekuwa clinical sasa hivi ingekuwa at least 0-3
 
067d4be6e9ada29a7d7bdf8643f43701.jpg
 
Pairing ya Wilshere na Xhaka haifanyi kazi, Sanchez na Iwobi just poor! Ozil peke yake hawezi kumlisha Lacazete no wonder haonekani kabisa.
Liverpool wangekuwa clinical sasa hivi ingekuwa at least 0-3
Xhaka anatakiwa abaki chini, ili jack apandishe mashambulizi

Tatizo wote wanapanda, kurudi linakuwa tatizo
 
Back
Top Bottom