Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ngoja niagize castle light bariiiiiidi hapa recreation ukonga magereza....huku nasikiliza Mkote Band...

Mkuu kumbe na ww una vituko
Mi coffee iliishakataa kupita kabisa

Sasa ngoja niende hapa mwanza hotel niagize ya kizungu zaidi nasikia koo linawasha
 
Ngoja niagize castle light bariiiiiidi hapa recreation ukonga magereza....huku nasikiliza Mkote Band...
Kijasho cha wasiwasi kimetutoka, kwanini Wenger kaanza na hakumbadilisha A Sanchez hata sielewi, lijamaa laondoka January, kwanini anapangwa?! kwani atauzwa?!
AW kweli ana maudhi mno..
 
Kijasho cha wasiwasi kimetutoka, kwanini Wenger kaanza na hakumbadilisha A Sanchez hata sielewi, lijamaa laondoka January, kwanini anapangwa?! kwani atauzwa?!
AW kweli ana maudhi mno..
Mkuu sasa atapangwa nani? Unataka turudi kulekule tena?
Sanchez ni muhimu apangwe kwa sasa
Kama ataondoka January au hata yule mwarabu naye akisepa,Wenger anafaa atafute majembe mengine ya kazi January
Akifanya hivyo tutaendelea kufuta kahawa na bia ka sahivi
 
hahahaha...
 
Man City wanaua watani wa jadi...
They too too good...Unbelievable..
Unbeatable, Invisibles, total classy...
 
Arsenal itafanya mazungumzo ya kandarasi na mchezajiw a kiungo cha kati mwenye umri wa miaka 25 Jack Wilshere kabla ya mwisho wa mwezi. (London Evening Standard)
 
Huenda Gunners ikapoteza wachezaji watatu msimu ujao wa joyo wakati bosi Arsene Wenger anapojitayarisha kwa mabadiliko yake makubwa. (Daily Mirror)
 
Huenda Gunners ikapoteza wachezaji watatu msimu ujao wa joyo wakati bosi Arsene Wenger anapojitayarisha kwa mabadiliko yake makubwa. (Daily Mirror)
Wanatabiria kama nane!
AW kaifurunda timu kishenzi...
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez, 28, amekataa mshahara wa £400,000 kila wiki kutoka kwa klabu moja ya China kwa sababu anataka sana kuhamia Manchester City. (Sun)
 
Back
Top Bottom