Mnakuwa mnanichekesha sana, tuna kipa mwengine anaitwa Sergio, na huyo naye vipi? Wakati unazungumzia mchango wa goal keeper, usisahau na ule wa washambualiaji. Kumbuka kuwa goalkeepr section yake ni defence, sikatai kama amefanya kazi nzuri, bali nasema ule ni wajibu wake, ni vizuri kumpa hongera kwa kutimiza wajibu wake.
Unatoa mfano wa degea wa 2012-2014 kwani kwenye miaka hio ulioitaja mlitufunga mechi ngapi?
Unasemaje Barcelona timu ilibalance wakati umeshatwambia valdes alikuwa mbovu 😀 😀 😀 kubalance kwa timu ikiwa kila mtu anatekeleza majukumu yake. Just for your information, Tangu Peter, Barthez, Van, makipa wetu wanakuwa wazuri wa kutekeleza majukumu yao. Unlike Arsenal, ambao sio kipa tu, the whole team doesnt know what they want.... Sawa Lukaku hana anchokifanya zaidi ya kuruka ruka mpaka sasa ana goli 8 na assit 4, sasa lacazzeti ambae anacheza mpira ana goli 8 na assist 1.... sasa kwanini usiseme wanaruka ruka wote....Sanchez mchezaji ana mangapi?
Wenger na wachezaji wake wamekwisha.... vipi unacheza eti kwa kupoint nafasi ya nne?
Whats your club future? 😀