Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Na aende tu kwa kweli.Wenger out####
Na aende tu kwa kweli.Wenger out####
Siongei na mashabiki wa timu masikini.Timu isiyokuwa na mwelekeo kuanzia kwa mabosi hadi mashabiki waliopindaSikulaumu! Kubakwa Getoni Kwako sio jambo dogo...
Fala nn wwWenger out####
Pambaneni na hali zetu...wenzenu wanakula bata Ulaya nyie mnaishia kutukanana mitandaoni...Vikombe vyao ninakuongezea kisamvu mezani?.Siongei na mashabiki wa timu masikini.Timu isiyokuwa na mwelekeo kuanzia kwa mabosi hadi mashabiki waliopinda
Timu hata kombe haibebi vikijitahidi sana vinafika fainali vinakung'utwa
Tokea lini cjui hata carabao havina
Vinakalishwaga mpaka uropa
Havina hela ya kusajili wachezaji wa maana ndo maana vinasajili wachezaji wa kiafrika sana na vinategeshea wachezaji wa bure
Rekodi ya usajili mkubwa paundi 35m hivi na nyie mnategemea hata kombe la kuku
Pelekeni mkungu wa ndizi!!!!!??!!!!!!
We nae mbona unaingilia kusikojulikanaPambaneni na hali zetu...wenzenu wanakula bata Ulaya nyie mnaishia kutukanana mitandaoni...Vikombe vyao ninakuongezea kisamvu mezani?.
Ni kweli huenda nimeingilia kusikojulikana ...maana sikuelewi hoja yako ni nini hasa....Enjoy your beautiful SundayWe nae mbona unaingilia kusikojulikana
Liverpool hawana vikombe mm nina makombe
Wameng'aza cjui toka lini hawabebi ligi,fa wala lile kombe la kuku calabao
We unanambia vikombe vyao wavitolee wapi!!!!
Au na ww ni walewale




Asante kwa kujitambua mapemaNi kweli huenda nimeingilia kusikojulikana ...maana sikuelewi hoja yako ni nini hasa....Enjoy your beautiful Sunday![]()

Kamsaidie lukaku kunenepa skonziHa ha ha ha Gunners kwa maneno wako juu lakini hawana mbinu za kupambana.
Kuhusu nini???Walewale![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuhusu hiyohiyoKuhusu nini???
Sijajua man of the match kwa mechi ya jana alikuwa ni nani, lakini na hakika mpaka mwisho wa msimu huu mchezaji bora wa man u atakuwa ni degea na wala sio mwingine. Hii ina maanisha kwamba siku degea akienda majeruhi mtakuwa ni jamvi la wageni, sababu yeye ndio beki yeye ndio kipa![]()
![]()
, washambuliaji wanafunga magoli ya matukio tu.
Timu yetu matatizo yetu ni Yale Yale, hakuna umakini kwenye defensi, tukikutana na timu zenye mpira wa fujo hasa kama formation yenyewe ni 10-1 linatupa wakati mgumu japo sasa hivi tunae fundi Lacazette anaeweza kutumia vizuri mipira mirefu.
Kwani nkuulize, alichokifanya De gea ni wajibu wake au sio wajibu wake? Ukijibu hili ndio utajua kuwa kila mchezaji ana wajibu wake, anapo perform vizuri unamsifia ili apate motivation, lakini ni wajibu wake kulinda goli in any way.
.
Siongei na mashabiki wa timu masikini.Timu isiyokuwa na mwelekeo kuanzia kwa mabosi hadi mashabiki waliopinda
Timu hata kombe haibebi vikijitahidi sana vinafika fainali vinakung'utwa
Tokea lini cjui hata carabao havina
Vinakalishwaga mpaka uropa
Havina hela ya kusajili wachezaji wa maana ndo maana vinasajili wachezaji wa kiafrika sana na vinategeshea wachezaji wa bure
Rekodi ya usajili mkubwa paundi 35m hivi na nyie mnategemea hata kombe la kuku
Pelekeni mkungu wa ndizi!!!!!??!!!!!!
Ndio ni wajibu wake na ndivyo anavyopaswa kucheza kwa kuwa ameajiriwa pale kwa majukumu Yale. Ila kitendo cha yeye kuonekana ndio muhimili wa timu na kuwa outperform wachezaji wenzake wengine wote kama ilivyokuwa jana, inaonesha wazi kwamba timu yenu ina imbalance kubwa sana, yaani sehemu kubwa ina mapungufu na mapungufu hayo yanazibwa na goli kipa kuhakikisha mnapata ushindi.
Yaani ina mbidi goli kipa wenu awe anafanya kazi kubwa ya ziada kuliko hata beki zake, siku hakicheza chini ya kiwango tu basi mtakula mvua za magoli. Hivi kwa ile mechi ya Jana kama mngekuwa na yule degea wa 2012-2014 unafikiri mngepigwa ngapi? Kwanini sasa hivi tusiseme umahiri wa golikipa ndio unaibeba man u!?
Nikukumbushe kidogo misimu ya nyuma Barcelona walikuwa na kipa mbovu Victor Valdes lakini walikuwa wanaoshinda mechi nyingi tu kubwa bila kufungwa magoli mengi, ni kwa sabaabu timu yao nzima ilikuwa ime balance hivyo hawakuhitaji umahiri mkubwa wa goli kipa ndio uwaokoe wasifungwe magoli.
Timu yenu ina mapungufu sana sehemu ya kiuongo na huko mbele, huyo lukaku hamna anachofanya zaidi ya kurukaruka tu, pogba nguvu nyingi tu akili kisoda.
They were not targeting the title from the beginning.... All they target is the chance to PARTICIPATE in UEFA and not COMPETING in UEFA.... Arsenal has been a team with low standards.Lizarazu ukisema Pogba akili kisoda nguvu nyingi akili kisoda unanifanya nijiulize uwezo wako kwenye mpira uko kiwango gani.
Kwa mechi ya jana tu magoli mawili yeye ndio katoa ASSISTS unaweza kuangalia tena au muulize Kolschieny alichofanywa.
Man Utd bila Pogba sio sawa na Man United ikiwa na Pogba uwanjani. Mtu yeyote anaejua mpira hawezi kukosa kuona uwezo mkubwa wa Pogba labda kama una chuki binafsi.
Poleni nasikia mlikuwa hamjafungwa mechi 12 za EPL hapo Emirates anzeni tena nafasi ya nne bado ipo wazi ila ubingwa sahauni na hatujafika hata Januari.