Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Khe khe khe khe khe khe
Mkuu Wacha1 Yale Mambo Yako Ya khe khe khe khe khe naona hatuyaoni siku hizi? Au ndiyo timu umeamua Kuisusa na Kubeba Bango la [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] ?
Khe khe khe khe khe khe
Wakuu ucku mwema ngoja tuhamie r madrid
Hapa kuna kitu hakipo sawa, shots on target Arsenal 15 (1) and Man U 4 (3).
Cha kustahajabisha, eti walivyopunguzwa ndio wakaanza kutukaba vizuri.
Sisi bwanah
Cha kustaajabisha washabiki wa Arsenal hawachelewi kusahau weakness ya timu yao.Cha kustahajabisha, eti walivyopunguzwa ndio wakaanza kutukaba vizuri.
Sisi bwanah
Kwenye hizo 15 shots zipo nyingi ambazo De Gea alikuwa anaziokota tu..zile za kusifiwa ni kama 7 hivi ambazo vile vile ni nyingi.Hapa kuna kitu hakipo sawa, shots on target Arsenal 15 (1) and Man U 4 (3).
Kwenye hizo 15 shots zipo nyingi ambazo De Gea alikuwa anaziokota tu..zile za kusifiwa ni kama 7 hivi ambazo vile vile ni nyingi.
Clear chance one on one mbili moja mmefunga I guess. The rest were scrappy
Dah, imagine shots kama 14 hivi zingeingia nyavuni??? Kweli mipango si matumizi.
Ruthless...ukiwa unacheza kwa kujihamu you gotta be ruthless and super clinical.Yani inaonesha upande wa nyuma kuna tatizo, shots on target 4 (3) hili unalizungumziaje
Sasa je kama inaoneka tutashindaMnajuaga kujipa moyo.... eti winning game mnafungwa nyumbani, tena 3,
We hujaelewa unadandiadandia tu hebu soma kwanza id na avatarArsenal imeshakushinda sio?
We hujaelewa unadandiadandia tu hebu soma kwanza id na avatar
Namaanisha nikacheki mechi yao
Gunners na Madrid wapi na wapi
Are you crazy
Sijajua man of the match kwa mechi ya jana alikuwa ni nani, lakini na hakika mpaka mwisho wa msimu huu mchezaji bora wa man u atakuwa ni degea na wala sio mwingine. Hii ina maanisha kwamba siku degea akienda majeruhi mtakuwa ni jamvi la wageni, sababu yeye ndio beki yeye ndio kipaCha kustaajabisha washabiki wa Arsenal hawachelewi kusahau weakness ya timu yao.
, washambuliaji wanafunga magoli ya matukio tu.Tulishinda Europa League kipa akiwa Sergio Romelo. Pamoja na De Gea kuwa kipa bora lakini namba mbili nae ni mzuri sana.Sijajua man of the match kwa mechi ya jana alikuwa ni nani, lakini na hakika mpaka mwisho wa msimu huu mchezaji bora wa man u atakuwa ni degea na wala sio mwingine. Hii ina maanisha kwamba siku degea akienda majeruhi mtakuwa ni jamvi la wageni, sababu yeye ndio beki yeye ndio kipa![]()
![]()
, washambuliaji wanafunga magoli ya matukio tu.
Timu yetu matatizo yetu ni Yale Yale, hakuna umakini kwenye defensi, tukikutana na timu zenye mpira wa fujo hasa kama formation yenyewe ni 10-1 linatupa wakati mgumu japo sasa hivi tunae fundi Lacazette anaeweza kutumia vizuri mipira mirefu.
Sergio Romelo hajakutana na mikiki mingi ya EPL sidhani kama anaweza kuhimili mikiki ya kila wiki kama degea yaani zile shots za hapa na hapa, degea anajua hata kujiposition ndio maana mipira mingine inamkuta alipo yeye.Tulishinda Europa League kipa akiwa Sergio Romelo. Pamoja na De Gea kuwa kipa bora lakini namba mbili nae ni mzuri sana.
Tuna historia ya kuwa na makipa wazuri, Schemeical, Van Der Saar hawa wote walikuwa wanatuokoa sana. Usipokuwa na kipa mzuri hata 4 shots on goal unafungwa magoli matatu! De Gea was/is doing what he is supposed to do.