Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa kuna kitu hakipo sawa, shots on target Arsenal 15 (1) and Man U 4 (3).
 
Arsenal hua inashida moja kuu nayo ni kukosa nidhamu ya ukabaji.

Hua wanainjoi kupasiana huku wanakwenda na kusahau kabisa majukumu ya kuzuia na kwenye hili Mzee Wenger ameshindwa kulifanyia kazi miaka nenda rudi
 
Poor Aser8
Poor Wenger
Poor Asernal fans

51e744288ca06d787e0b3a35cb4eb1ac.jpg
 
Baada ya mechi hii nimeamua kutoka Chelsea na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku Chelsea kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani
 
Arsenal hua inashida moja kuu nayo ni kukosa nidhamu ya ukabaji.

Hua wanainjoi kupasiana huku wanakwenda na kusahau kabisa majukumu ya kuzuia na kwenye hili Mzee Wenger ameshindwa kulifanyia kazi miaka nenda rudi

hizo ni sifa mbili zinazokinzana,huwezi kumpenda mtu mcheshi hapo hapo umtake awe mkimya!Team zote zinazokuwa zinamiliki sana mpira haziwezi kuhimili zikishambuliwa
 
Hey guys, we tried our best, stupid mistakes cost us the game, kwa mara ya kwanza wala sina hasira...
Tumecheza mpira wakuu, kumbukeni wazee ukiwa na goalie mzuri it makes a difference, all the time..
Good night good people..
[HASHTAG]#Gunners[/HASHTAG] together we stand..
Hivi hata hamkutambua morinho aliwachezesha makirikiri mkaacha bongo flavour?????
 
Poa tushakong'otwa knuckles 3, tumewachapa nawo kimoja...
Ila game tamu sana sana sana...
Take a note, wazee Petr Čech kachoka! Hata kujirusha kama De Gea?! Angeweza hata kuokoa goli moja! Ni mimi lakini...!
Usiwaone mabeki pobga na lingard second gori mibeki inapitwa kati inaona...!
 
Cha kustahajabisha, eti walivyopunguzwa ndio wakaanza kutukaba vizuri.

Sisi bwanah
 
Back
Top Bottom