McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Line-up iko sawa baada ya kazi hii rasmi namtoa AW kwenye lawama za game ya leo,ni zamu ya wachezaji kuitetea Arsenal na kuipa heshima badge naamini wanahitaji kushinda tofauti na hapo ni sare ila tukipigwa ni ile tabia yetu ya kuwaogopa Manure.
[HASHTAG]#YaGunnersYa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#YaGunnersYa[/HASHTAG]
️