McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Wanakukamiaga wapi? Unakumbuka mara ya mwisho Goons kucheza na Huddersfield ilikuwa lini?Asafavali maana hawa jamaa wanakamiaga
Eti itatusaidia!! Naona mmeshasahau kale kawimbo ka [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG]FT
Arsenal 5-0 Huddersfield
Tunawasubiri Manure tukiwa na winning mentality hii itatusaidia sana kwenye game inayofuata,good thing Ozil,Lacanyavu na Sanchez wote wamefunga ila nimefurahi Ozil ka-assist mara 2.
BRING IT ON....Manure..[emoji1491]
Eti itatusaidia!! Naona mmeshasahau kale kawimbo ka [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG]