Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
 
 

Attachments

  • IMG-20171122-WA0005.jpg
    51.4 KB · Views: 41
Arsenal wanataka kumsajili mchezaji wa zamani wa Tottenham Hotspur Gareth Bale, kwa mujibu wa habari kutoka Hispania leo.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Wales aliondoka White Hart Lane kwenda Real Madrid 2013 kwa ada ya uhamisho ya rekodi, lakini kwa sasa amekuwa si mchezaji muhimu Bernabeu tena na anaweza kuondoka siku za usoni.
Manchester United wamekuwa wakimfuatilia Bale kwa muda mrefu na inaaminika wapo mstari wa mbele kuiwania saini yake, lakini habari kutoka Don Balon zinadai kuwa Gunners wameonyesha nia ya kumsajli na Bale anawafikiria.
 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 inaaminika "anawaza tofauti zitakazotokea baada ya kujiunga na timu ambayo ni mahasimu wa timu yake ya zamani lakini anatamani kurejea London" baada ya kutokuwa na furaha na maisha ya jiji kuu la Hispania.
Spurs inaaminika kuna kipengele kwenye mkataba wao wa kumuuza Gareth Bale ambacho kitawapa fursa ya kumrejesha Ligi ya Uingereza.
Nyota huyo wa Wales inafahamika kuwa hana furaha tena Bernabeu na anatamani kuondoka La Liga, Arsenal wakipewa nafasi kubwa kumsajili
 
Kiungo wa kati wa Arsenal Mesut Ozil anaitaka Barcelona kumlipa dola 370,000 kwa wiki ili kujiunga nao mwezi Januari.Mkufunzi wa Gunners yuko tayari kumwachilia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ili asijiunge na Man United wakati mkataba wake utakapokamilika mwishoni mwa msimu ujao. (AS)
 
Safi sana kwa taarifa... Are you goonarette?
 
Game ya leo ambayo ni muhimu kushinda ili tusogee mpaka nafasi ya 4 utakuta vijana wanacheza kama wamebeba gunia.
COYG....
 
hawa watoto hawana historia ya kutusumbua tukicheza nao...japo ni wagumu sana wakiwa kwao...ushindi Lazima leo
 
HT
Burnley 0-0 Arsenal
Hawa Burnley wamecheza vizuri sana kipindi cha kwanza wako organized,game ni nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…