Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Matatizo ya arsenal si wenger tu,management nzima na jinsi club inavyoendeshwa ndio tatizo kubwa. Si kwamba arsenal inafanya vizuri kwa sasa,bado ni timu dhaifu sana,na wala hakuna hata dalili kama wataweza kuingia top four.Ni Wazi Kwamba Wale Washika Mabango Ya [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] Bado Wanaendelea Na Mgomo Wa Kutokurudi Kwenye Uzi Wao na Kumuachia McDonaldJr Peke yake Au-update uzi hii...
Lakini Kadri Timu inavuofanya Vizuri Ninawaona Wanaanza Kuchungulia Mmoja mmoja...
Matatizo ya arsenal si wenger tu,management nzima na jinsi club inavyoendeshwa ndio tatizo kubwa. Si kwamba arsenal inafanya vizuri kwa sasa,bado ni timu dhaifu sana,na wala hakuna hata dalili kama wataweza kuingia top four.
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]arsenal inatia huruma hata hicho kikos kimeshindwa hatar sana
yaani mnakomaa kutafuta lawama kumbuka almost wachezaji wote sio regular player wa 1st team mzee na hawajapoteza hata game moja kaangalie wachezaji wa akiba niambie unamjua nani ukimtoa Cech,ishu ya msingi wameenda next stage,honestly nilitamani wangetolewa tu kwenye hii Mickey Mouse Cup.
Kimeshindwa kufanya nini...yaani mnakomaa kutafuta lawama kumbuka almost wachezaji wote sio regular player wa 1st team mzee na hawajapoteza hata game moja kaangalie wachezaji wa akiba niambie unamjua nani ukimtoa Cech,ishu ya msingi wameenda next stage,honestly nilitamani wangetolewa tu kwenye hii Mickey Mouse Cup.
Duuuh....huyu kiungo alikuwa anaitendea haki nafasi hiyo....hata hivyo umri umesogea piaCazorla hatihati kucheza tena mpira, madaktari wamwambia ashukuru tu kwamba anaweza kutembea
Kimeshindwa kufanya nini...yaani mnakomaa kutafuta lawama kumbuka almost wachezaji wote sio regular player wa 1st team mzee na hawajapoteza hata game moja kaangalie wachezaji wa akiba niambie unamjua nani ukimtoa Cech,ishu ya msingi wameenda next stage, honestly nilitamani wangetolewa tu kwenye hii Mickey Mouse Cup .
Cazorla's ankle,duh uyu mwamba naona kama career yake imefika mwisho.
![]()
Asante sana mkuu,ushindi lazima leo.Kila la heri leo Arsenal
Mungu awe nanyi
Leo mkae tayari kwa 4G mnara lazima usome .Tunakwenda kumfunga Manchester city timu ambayo inaonekana tishio kubwa msimu huu hapo hapo nyumbani kwake.
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]