Duuh wapenzi wa Arsenal tumekosa imani na timu kwa kiwango hiki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni Cologne au Koln ama ni the same thing mkuu?Mpira raha sana , ball possession Arsenal 71 - Cologne 29
Ila Cologne wanaongoza goli moja
Hawa FC Cologne ni "watu wasiojulikana"
Hivi ni Cologne au Koln ama ni the same thing mkuu?
Arsenal 3-1A na B yote sawa
Kolh ninahisi ni kwa kijerumani - Cologne ni kwa kingereza
** 1. Fußball-Club Köln 01/07 e. V., commonly known as simply 1. FC Köln or FC Cologne in English, is a German association football club based in Cologne.
** Poleni kwa kufungwa nyumbani lol
Arsenal 3-1
Timu yenu ni tiamaji tiamaji sana... kipindi cha kwanza chote hamkuwepo hapa JF, baada ya "kubahatisha" ndio mnaibuka sasa lol


ukiona tuko kimya vunga kwenye hii game hakuna hata alieleta line-up na updates mfululizo ila tumekausha ndio aina yetu ya ushabiki.Imekuaje siku izi....Mbona mlikuwa mnaleta updates pamoja na line up....!!Hamna kitu kinanishangaza kama mashabiki wa timu nyingine kuja kwenye jukwaa la Arsenal na mnatulazimisha tujadili sielewi mnapokomaa eti mbona mko kimya,simply jukwaa hili ndivyo lilivyo hakuna kelele maana kuna jukwaa wanajadili hata mchezaji wao akiwa anaoaukiona tuko kimya vunga kwenye hii game hakuna hata alieleta line-up na updates mfululizo ila tumekausha ndio aina yetu ya ushabiki.
HakuusuNyie kuku wacheza futuhi samaani kwa kuwavamia uku,mna mpango gani na samchuzi?!


London derby
![]()
Hatujawahi kupata matokeo chanya pale darajani kwa misimu mingi ila lolote linawezekana....COYG![]()