McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Dakika 21
Arsenal 1-0 BOU
Arsenal 1-0 BOU
List ya ukweli babu, imepangika, ila usishangae babu kuwachezesha kina Niles, Brammal, Wilshere, Ospina and the likes...Naombeni matokeo ya Arsenal












Duuh wapenzi wa Arsenal tumekosa imani na timu kwa kiwango hiki.....Wazee mkoo ...dah! Hivi jumapili tutashinda kweli..? Unadhani Chelsea inapaswa KUTUFUNGA magoli mangap??
Tukipambana tukafungwa hata tatu sio mbaya... au nyie mnaonaje wakuu. .?

