Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa jinsi watu walivyo kuwa wakiwasakama na maneno ya kejeli bezo na utabiri ule hii suluhu inawabeba kiukweli mmepigana
 
Kwa jinsi watu walivyo kuwa wakiwasakama na maneno ya kejeli bezo na utabiri ule hii suluhu inawabeba kiukweli mmepigana
Arsenal uingereza ilikuwa inasumbuliwa na Man Utd pekee. Kwa kocha ilikuwa mourinho ila kwa sasa mwiko umevunjwa.
Wenger alibugi kumchezesha Ox ile game ndiyo maana baadhi ya wachezaji waligundua mchezo mchafu mfano Sanchez.
Hadi sasa naamini arsenal wana kikosi kizuri kuliko timu zote bali matumizi tu .
 
1f610aef05e2a1f6a46d7c3af51b6c6a.jpg

Welbeck atakua nje ya uwanja kwa muda wa mwezi 1 sababu ya majeruhi aliyoyapata kwenye game ya Chelsea na wakati huo Ozil amerejea kwenye mazoezi baada ya kua nje kutoka na majeruhi madogo.
 
FT
Arsenal 1-0 Doncaster
Poor perfomance hasa kipindi cha pili nilikua sielewi kama hawa wachezaji wetu wanafahamiana au wamekutana tu leo,all in all tumeshinda ndio muhimu kwa sasa.
 
Ile mechi dhidi ya Chelsea ndo ilikuwa kiwango chenu cha mwisho

Yani timu ilicheza kwa nguvu sana ..dro ikawa SEHEMU ya ushindi wenu.
 
The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch

Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
mwenye clip ya scorpion kick ya geroud akifunga against crystal palace anitumie kweny whatsup 0655640213. nimejaribu ku dowload kweny you tube nimeshindwa
 
Arsenal uingereza ilikuwa inasumbuliwa na Man Utd pekee. Kwa kocha ilikuwa mourinho ila kwa sasa mwiko umevunjwa.
Wenger alibugi kumchezesha Ox ile game ndiyo maana baadhi ya wachezaji waligundua mchezo mchafu mfano Sanchez.
Hadi sasa naamini arsenal wana kikosi kizuri kuliko timu zote bali matumizi tu .

Watu Waliopenda Mpira 2005 mpaka 2017 utawajua tu..... Habu Kaangalie Vizuri Kumbu Kumbu Za Timu yako ikisha ndiyi uje uropoke....
 
Penalty kabisa ile...

Refa amezingua aisee.

Na huyu Jake Livermore goli la wazi kashindwa kumalizia aisee
 
Back
Top Bottom