Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

e2cd3671c00ffe99bd6c9de6c9c75986.jpg
 
Sijawahi kuona mchezaji MVIVU na mwenye nyodo kama Ozil, mpira wake wafaa huko huko alikotoka, haiwezi EPL..
 
Sijawahi kuona mchezaji MVIVU na mwenye nyodo kama Ozil, mpira wake wafaa huko huko alikotoka, haiwezi EPL..

Sijawahi kuona mchezaji mzuri mwenye kipaji anayejitambua akaenda kupoteza career yake kwenye club isiyokuwa na malengo kama Ozil Mesut. Hastahili kuwa hapo huyu kiumbe. Namkubali sana.

Mkuu kasura kake kanaonekana kama ananyodo ila jamaa yuko poa sana. One time alikuwa anakatisha Bond street tukamsimamisha, jamaa yuko poa huwezi amini. Hizi nyodo sijui huwa mnaziona kwenye macho yake, ila hayuko hivo mkuu.
 
Kuna Mashabiki Kazi yao Kurandia Nyuzi za Watu tu na Kufanya Maudhi 😀😀😀
 
March nachukua EPL
OX kaongeza stability
Africa Cup haipo
Coutihno haendi popote
Cylne kapona
Lallana kama usajili mpya Dec
Mala.. unavuta ugolo au tumbaku siku hizi?
Muda utaongea, usiwe kama Mou. Siku hizi Mou amewekwa kwenye cold-room( amefungwa "gavana" ya mdomo) na Sir Alex.
 
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema “alisita” kusaini mkataba mpya msimu uliopita akiwa na mashaka iwapo kama bado “ana uwezo wa kuongoza klabu hiyo”.

Wenger alikubali kusaini mkataba wa miaka miwili mwezi Mei, mwezi mmoja tu kabla ya mkataba wake kumalizika.

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Ufaransa, katika kipindi cha michezo cha Telefoot, alisema kulikuwa na “sababu binafsi” zilizomfanya kuchelewa kusaini mkataba mpya katika klabu hiyo ambayo ameiongoza kwa miaka 21.

Lakini aliongeza kusema: “Nimekuwepo pale kwa muda mrefu, na najiuliza kama naweza kuipeleka timu katika ngazi nyingine?”

Arsenal walimaliza katika nafasi ya tano katika ligi kuu msimu uliopita- ikiwa ni mara ya kwanza kumaliza nje ya nne bora tangu Wenger alipojiunga na Arsenal mwaka 1996. Hata hivyo Arsenal walishinda Kombe la FA kwa kuwafunga Chelsea.

“Nimekuwepo Arsenal kwa miaka mingi na msimu uliopita tulisumbuka sana,” amesema Mfaransa huyo, 67.

“Mwaka huu tulishinda mchezo wetu wa kwanza, hatukuwa vizuri kwenye mechi ya pili, halafu tukaonesha kiwango kibovu.
“Lakini sasa tunahitaji kuibuka tena, na kama kawaida, wakati wa matatizo unahitaji kushinda mchezo ujao.”

Wenger aliulizwa kuhusu dau la Thomas Lemar, 21, wa Monaco katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili.

Ada ya uhamisho ya pauni milioni 90 iliripotiwa kuafikiwa lakini Wenger alisema mchezaji huyo “aliamua kubakia Monaco”.

Alipoulizwa iwapo anapanga kurejea tena Monaco kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa, Wenger alisema: “Ndio. Nadhani ni mchezaji wa kiwango cha juu.”

Pia alisema alitaka kumsajili Kylian Mbappe, ambaye amejiunga na Paris Saint-Germain kwa mkopo na ambao hatimaye utakuwa uhamisho wa pauni milioni 165.7(euro milioni 180) msimu ujao.

“Milioni 180 ni kiasi kikubwa kidogo kwetu,” alisema Wenger, ambaye amemuelezea Mbappe, 18, kama “Pele anayechipukia”.

Pia Wenger aliulizwa maswali ya kujibu ndio au hapana.

Swali: Unaweza kuwa kocha wa timu nyingine?

Wenger: Ndio

Swali: Umewahi kuwasiliana na PSG?

Wenger: Ndio

Swali: Utakuwa tayari kubadilishana makombe yote ulioshinda kwa kombe moja la UEFA Klabu Bingwa Ulaya?

Wenger: Hapana

Swali: Lakini kutoshinda UEFA kunakukera?

Wenger: Hapana

Swali: Unaweza kushinda ligi kuu mwaka huu?

Wenger: Ndio

Swali: Umesikitishwa na usajili wako katika dirisha hili la usajili?

Wenger: Hapana
 
Mshambuliaji Alexis Sanchez amethibitisha kukabiliwa na majeraha ya kifundo cha mguu, akiwa kwenye kambi ya timu yake ya taifa inayoendelea kusaka nafasi ya kucheza fainali za kombe la dunia za 2018 kule nchini Urusi. Sanchez ametoa taarifa za kuumia, kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram. Mshambuliaji huyo amepatwa na majeraha hayo ikiwa ni baada ya kushuhudiwa akirejea uwanjani juma moja lililopita, katika mchezo wa ligi ya nchini England dhidi ya Liverpool, ambapo kikosi cha Arsenal kilikubali kuchapwa bakora nne kwa sifuri.
 
Mwaka huu nitaangalia mechi za Arsenal nikiwa chumbani. Isitoshe anaye toa taarifa za majeruhi ya mchezaji nilidhani ni Daktari wa timu au Manager wa timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When you have to go back to assno after international break.
409e268fb4861d77f927683976a2c85b.jpg

I love football, general banter, ukimind nipige
 
PSG wanamtamanisha kocha yeyote duniani sababu ya ile strike force yao mbele, wanacheza 4-3-3, mbele ni Mbappe Cavani na Neymar!!
Wabarikiwe, kama Barca!
 
PSG wanamtamanisha kocha yeyote duniani sababu ya ile strike force yao mbele, wanacheza 4-3-3, mbele ni Mbappe Cavani na Neymar!!
Wabarikiwe, kama Barca!

Hata Barcelona Msimu Uliopita Walikuwa na MESSI, SUAREZ na NEYMAR ambayo ni Strike force Miles away better ukilinganisha na CAVANI, NEYMAR na MBAPPE! Lakini unakikumbuka Kilichowakuta??

Mkuu mpira si majina wala uwezo wa Mtu mmojammoja bali ni Team Work ndiyo inayofanya Kazi! Ndani ya Ufaransa Hatashikika! Lakini subiri CL uone kama Atafurukuta na Mbappe wake...

Kama Utakumbuka Inter Milan ilikua Foward Yao ni Trio ya RONALDO, BAGGIO na ZAMORANO kwa Wakati Huo walikuwa ndiyo Best attaking fowards in the world.. Lakini Walifungwa na Delpiero mmoja tu na Wakashindwa Kufurukuta...
Kwani Kuanza tu Kwa Mchezo Basi ZIDADE kapewa red card, na hapo hapo EDGAR nayeye Kapewa Red Card kwa Upande Wa JUVE ... Lakini wakawalaza Inter iliyojaa Mastaa...
 
Duh! nimecheck jana wanavyompa khamsa metz jamaa watasumbua sana ule mchanyato wao pale mbele si wa kitoto kwa league one na hata UCL wanaweza kufanya vizuri pia
 
Duh! nimecheck jana wanavyompa khamsa metz jamaa watasumbua sana ule mchanyato wao pale mbele si wa kitoto kwa league one na hata UCL wanaweza kufanya vizuri pia
Sana sana, hata Defence wako vizuri, midfield napo wamekolea, nina wasiwasi na Cavani, mzuri ila siyo kivile..
 
Msiwe wavivu kutoa pole kule mtaani , kuna msiba mzito sana.
Kuweni waungwana watembeleeni wafiwa wafarijini.
 
Back
Top Bottom