moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,303
- 1,530
Ahidi ulichonacho na ambacho hakitatoweka either kwa kodi au zuio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahidi ulichonacho na ambacho hakitatoweka either kwa kodi au zuio
Dah, siyo dalili nzuri, isije ikawa kama mambo ya nasri na v parsie, alimchezesha nasri akacheza chini ya kiwango tukachapwa akakimbilia city, bora ampumzishe mpaka dirisha lifungwe au amuuze tu!Sanchez 'OUT '
Arsene Wenger amethibitisha kwamba Alexis Sanchez atakosa mechi ya ufunguzi wa ligi dhidi ya Leicester kwasababu ya maumivu ya tumbo.
Gunners watamkosa nyota huyo wa Chile siku ya Ijumaa ambapo kikosi cha Craig Shakespeare kitakapo safiri kwenye mtanange utakaopigwa Emirates.
Sanchez alipata maumivu hayo akiwa mazoezini kuelekea mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Chelsea na Wenger amekiri kwamba hana uhakika ni kwa muda gani Sanchez atakuwa nje ya dimba , licha ya kwamba anaamini kwamba atakosa pia mechi ya kwanza ya ugenini dhidi ya Stoke City Agosti 19.
"Sanchez hatopatikana kikosini. Ana maumivu ya tumbo aliyoyapata katika mazoezi siku ya jumapili asubuhi kabla ya mechi ya jioni Wembley."
"Alifanyiwa vipimo siku mbili kabla na atakuwa nje kwa muda.Sijui ni kwa muda gani atakuwa nje - wiki mbili au wiki moja zaidi. "
"Hatocheza dhidi ya Stoke."
Sanchez amekuwa akihusishwa na kuhama Emirates majira haya ya kiangazi na Paris Saint-Germain na Manchester City ndio wanapigana vikumbo kuwania saini yake.
Dah, siyo dalili nzuri, isije ikawa kama mambo ya nasri na v parsie, alimchezesha nasri akacheza chini ya kiwango tukachapwa akakimbilia city, bora ampumzishe mpaka dirisha lifungwe au amuuze tu!
Alexis Sanchez haondoki, hilo lipo wazi kabisa. Arsene Wenger kashajifunza hawezi kuuzia adui silaha...
Cazorla ameanza mazoezi so si mda mrefu sana tutaanza kumuona dimbaniJamani Carzola vipi wadau maendeleo yake
Daaaa afadhali aiseeeCazorla ameanza mazoezi so si mda mrefu sana tutaanza kumuona dimbani
Come on you gunnerspoint 3 muhimu leo, gooners
️