MICHAEL MARTIN ASEMA UTABIRI WAKE KWA ARSENAL HAUJAHUSISHA USAILI WA MTU YEYOTE
Mwingereza na mtu pekee aliyeitabiria ubingwa Leicister City msimu wa 2015/16
Na
Kuitabiria Chelsea 2016/17 na kufanikiwa kwa asilimia 100
Amesema utabiri wake hauja uhuisha usajili bali ameliona wingu la dhahabu Emirates
Michael Martin alijitengenezea jina baada ya Leicister kuibuka mshindi akiwa ni mtu pekee aliyeitabiria timu hiyo alisema
"Mimi ni mnajimu sio mtu wa soka ingawaje napenda soka na utabiri wangu nauelekeza kwenye Soccer"
Ukiniuliza ni mchezaji gani asajiliwe ili utabiri wangu utimie siwezi kujua(akiwa anacheka)
"Ila kiunajimu Arsenal ndio mabingwa msimu ujao wingu la dhahabu linang'ara kwao"
Arsenal ipo ktk mzozo na Nyota wao wawili SANCHEZ na OZIL lakini Michael Martin haoni utabiri wake kuvurugwa na ilo
"Mmmh Sijui kama watabaki au wataondoka ilo sijaliangalia
Ila ata km wataondoka kesho au kesho kutwa utabiri utasimama ivi ivi"
Arsenal imeshamnasa Alexandrar Lacazette na Wenger amethibitisha kumfukuzia Riyadh Mahrez,Thomas Lemar
Kitu kinachofanya kuonekana kuifanya Arsenal kuwa tishio zaidi eneo la katkat
Kwakuwa uwepo wa Ozil,Xhaka,Coquelin,Ramsey,Carzola na wengineo utafanya Mahrez ku fit kirahisi kwenye mfumo wa 3:2:3:2, au 3-4-3
Tumuachie mtihani huu mr Michael Martin
Kama ataendelea kuwa mbabe wa utabiri EPL...
Ama atachemsha kwa mara ya kwanza....
YHWH IS GOOD