everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Nimekuwa mtabiri mzuri nichumu basiii!!! Au umesahau nilitabiri nini??Congrats AFC fans, COYG...tumeanza msimu kwa kutoa gundu.
Nimekuwa mtabiri mzuri nichumu basiii!!! Au umesahau nilitabiri nini??Congrats AFC fans, COYG...tumeanza msimu kwa kutoa gundu.
Nitakuchumu chumbani, humu wangaaaa! Nikumbushe, "ulitabiri tunachukua ndoo ya ligi"Nimekuwa mtabiri mzuri nichumu basiii!!! Au umesahau nilitabiri nini??

Huyu jamaa kama vicent company wa zamani, yani mbabe kinyama, nguvu nyingi, tutegemee red card na card za njano zakutosha kutoka kwa huyu jamaaWenger mkatili sana yaani uyu Kolasianic kamchukua bure kabisa mpaka sasa ameonyesha kiwango cha kuvutia.
![]()
Huyu jamaa kama vicent company wa zamani, yani mbabe kinyama, nguvu nyingi, tutegemee red card na card za njano zakutosha kutoka kwa huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hata mimi najiuliza huyu jamaa Wacha1 amepotelea wapi? Hakuna mdau anaweza kujibu hili. Heheheheheeeee
Hiyo ndo zawadi yako na size yako msimu huuu!!! Kombe mwaka huu ni OT......hutaki jinyongeeeee hihihiiiii!!!!Nitakuchumu chumbani, humu wangaaaa! Nikumbushe, "ulitabiri tunachukua ndoo ya ligi"![]()
![]()
Tukichukua ndoo nyingine utanipa nini? Tunafanya betting mapemaaa kabla mtanange wa mwaka haujaanza.Hiyo ndo zawadi yako na size yako msimu huuu!!! Kombe mwaka huu ni OT......hutaki jinyongeeeee hihihiiiii!!!!
Hahahahah awamu hii hutakiwi kuhaidi vitu hovyo hovyo!!!!Tukichukua ndoo nyingine utanipa nini? Tunafanya betting mapemaaa kabla mtanange wa mwaka haujaanza.
We LOVE YOU ARSENAL, WE LOVE YOOOOOOOU ARSEEEEEEENAL WE LOOOOOOOVE YOOOOOOOOU ARSENAL
COME ON YOU GUNNERS
Sent using Jamii Forums mobile app