Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lacazette na Iwobi OUT
Giroud na Walcot IN
Dakika ya 67
Arsenal 0-1 Chelsea
So far tunacheza vizuri kuliko nilivyotarajia.
 
Community Shield itaamuliwa na penalties,nadhani leo watatumia mfumo mpya wa ABBA,Gunners kwenye pens tusiwe na matumaini sana maana Cech sio mzuri kwenye matuta na wapigaji wetu wengi ni wakawaida sana(wanaweza pia kuni-prove wrong [emoji4])
 
Penalties
Arsenal:[emoji460]️ [emoji460]️ [emoji460]️ [emoji460]️
Chelse: [emoji460]️ [emoji777] [emoji777]
 
We fuckn' made it GUYS...[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Kwanza mmemuona Bw. Saidi?! Pili sisi twajali kuwagonga hawa mbwa wa chelseafcfan @chelseathread wakati wa vikombe tu, kumbukeni jina, SAIDI...
 
Alhamdullilah hii Community Shield inatufungulia msimu vizuri,vijana wamepiga mpira mwingi sana na wameonyesha maturity hasa kwenye penalt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom