Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 989
- 1,281
mechi saa ngapi wadau
Mkuu, hili jukwaa ni la heshima na arsenal fans tunaliheahimu, acha kuleta utoto.



Line-up against Chelsea.
![]()
AW anachowaza anakijua mwenyewe,all the best lads...COYG![]()



kama kawa Chelsea wanalambishwa mchangaWalambishwe machanga kwa line-up hiyo? Dah huyu Mzee sijui anatutaka nini aisee
Walambishwe machanga kwa line-up hiyo? Dah huyu Mzee sijui anatutaka nini aisee
ingia YouTube type arsenal vs chelsea liveMsaada wa link ya live stream tafadhali...
️Kweli mmecheza vizuri watani ila kasi kidogo bado mngeweza kupata bao kipindi hicho mngekuwa mmejiweka pazuri so far kila la kheri.Kipindi cha kwanza tulikua sharp zaidi ya chelsea hasa tunaposhambulia ila tulitetereka kidogo alipotoka per
Watch Chelsea vs Arsenal : Community Shield Live Stream OnlineMsaada wa link ya live stream tafadhali...