MkoPoKa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 600
- 393
Selling Sanchez and replacing him with Young Lemar its a brave idea and we should do itTetesi zinasema jamaa atatoa mustakabali wake soon next week kuna picha zinamuonyesha akiwa kwao na wakala wake wataalam wa mambo wanaamini ulikua mjadala wa hatma yake na upande wa pili mzee AW anadai aliwasiliana na Sanchez mara ya mwisho kwa msg na jamaa alikua positive tu ingawa amekiri kuna mengi ya kuwekwa sawa atapokutana nae kipindi cha pre-seasson.
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app

