jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 10,962
- 10,608
Hahahaha🙂🙂😉😉Bayern Munich kasikia kuwa Arsenal hatakuwepo Uefa msimu huu,imebidi amtafute kwenye pre-season wamalizane kabisa mapema tu
![]()
Bayern Munchen vs Arsenal Live Streaming
Hahahaha🙂🙂😉😉Bayern Munich kasikia kuwa Arsenal hatakuwepo Uefa msimu huu,imebidi amtafute kwenye pre-season wamalizane kabisa mapema tu
![]()
Haya sema sasa, mara zote tunakuwa 10-men, leo 11 kwa 11 wamepata cha mtema kuni, kama Barcelona tu hawa, 11 kwa 11 hawatuwezi kabisaBayern Munich kasikia kuwa Arsenal hatakuwepo Uefa msimu huu,imebidi amtafute kwenye pre-season wamalizane kabisa mapema tu
![]()
Bayern Munich kasikia kuwa Arsenal hatakuwepo Uefa msimu huu,imebidi amtafute kwenye pre-season wamalizane kabisa mapema tu
![]()
kwani wakati KING MESSI anaingia nyavuni mara 4 mlikuwa pungufu?


,burudani ya hili jukwaa hata ukija na shombo mara nyingi unakaushiwa tu nashukuru umejibiwa kwa vitendo,tafuteni maneno mengine.
Mmecheza na kikosi cha pili la sivyo mngepewa kama sio goli 8 bilaNadhani ulikua unawazungumzia Bayern ila Iwobi amewatuliza umehamia kwa Messi,burudani ya hili jukwaa hata ukija na shombo mara nyingi unakaushiwa tu nashukuru umejibiwa kwa vitendo,tafuteni maneno mengine.

Lakazete mechi tatu goli 1![]()
Hivi lacateze mechi tatu ana goli ngapi vile au bado mnamtaka na yule kinda wa monaco


Nimekuuliza hapo juu,alitakiwa awe na goli ngapi?
Napata mashaka kama kweli viroba vimepigwa marufuku...![]()

Safi kabisa mkuu
Hii ndiyo reality, hii mechi afadhali tufungwe, babu ajuwe squad hamna kitu pale..HT
Arsenal 0-2 Chelshit