Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Hii ndiyo reality, hii mechi afadhali tufungwe, babu ajuwe squad hamna kitu pale..
HT
Arsenal 0-2 Chelshit
Kaka hata mngetimia, Muziki wa Chelsea kwa sasa sio mchezo, timu iko fit sana
Hii ndiyo reality, hii mechi afadhali tufungwe, babu ajuwe squad hamna kitu pale..
HT
Arsenal 0-2 Chelshit
Hamna....tunakataaKaka hata mngetimia, Muziki wa Chelsea kwa sasa sio mchezo, timu iko fit sana
Mnakataa nn na huku leo mlisahau kuingia kwenye mabarafu yenu ndo maana mkafungwa,,sijajua kwanza mlimfungaje buyern.Hamna....tunakataa






Hamna....tunakataa
Mnakataa nn na huku leo mlisahau kuingia kwenye mabarafu yenu ndo maana mkafungwa,,sijajua kwanza mlimfungaje buyern.![]()
![]()
![]()
Mkuu mm huwa nawauliza ana magoli mangapi ila huwa hawanijibu..!!!
Utakuwa unampinga yule mtabiri!Hii ndo timu itakayochukua legue msimu ujao mnavyojidananya..!!!!
![]()


Mpira umekosa heshima kabisa,hiyo hela ni thamani ya neymar?We’re on the brink of the biggest transfer in football history.
That’s because Paris Saint-Germain are closing in on the signing Neymar for a crazy £199 million.