Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Mkuu tumemkosa Lacazette lyon wametutolea nje offer yetu, wanataka £53m na bonus juu. Wanacheza na akili za Wenger hawa!😀 Tushamzoea babu wenu na tambo nyiingi halafu usajiri zero
Mkuu tumemkosa Lacazette lyon wametutolea nje offer yetu, wanataka £53m na bonus juu. Wanacheza na akili za Wenger hawa!😀 Tushamzoea babu wenu na tambo nyiingi halafu usajiri zero
Unakumbuka babu alisemaje wakati tunatoka Highbury?! Ili tuweze kushindana na wenzetu, kina Man City, Chelski, Man U na wengineo, tumehamia Emirates, bank account imenona vibaya mno, sasa si ndio wakati wa kuzitumia au?!Mkuu tumemkosa Lacazette lyon wametutolea nje offer yetu, wanataka £53m na bonus juu. Wanacheza na akili za Wenger hawa!
Tatizo Aubemeyang wale PSG wametangaza dau nono sana na kuna uwezekano mkubwa wakachukua, na kama unavyojua Wenger huwa sio mtu wa mashindano kwenye matumizi ya pesa.Hiyo biashara haitafanyika arsenal hawapendi kufanya deals zinazo husisha media kwani kila moves rais Wa Lyon anazitaarifu media. Abumenyang nipo striker bora kupigia lacazzate
Wapumbafu akina Kurenke na genge lake wao hawana muda na mataji wanacho jari ni financial gains tu mwisho wa msimu na ndio wanaomuweka pale Wenger kuna tetesi kuwa wameshawahi kumshawishi zaidi ya mara mbili kuongeza mkataba.Unakumbuka babu alisemaje wakati tunatoka Highbury?! Ili tuweze kushindana na wenzetu, kina Man City, Chelski, Man U na wengineo, tumehamia Emirates, bank account imenona vibaya mno, sasa si ndio wakati wa kuzitumia au?!
Tuwe kama wenzetu, ukiifunguwa wallet toa tu, maana sana sana hizo hela wanatafuna shareholders na sio fans!
Hasira kabisa...
Huyo binafsi simkubali afadhali wametutolea nje! Hata Giroud aliyesa League A akaja arsenal alawa flat!Mkuu tumemkosa Lacazette lyon wametutolea nje offer yetu, wanataka £53m na bonus juu. Wanacheza na akili za Wenger hawa!
Tulia mkuu, Xhaka ndio kwanza ana msimu mmoja kwenye EPL hauwezi ukahitimisha hivyo eti hawezi. Angalau tusubiri na msimu huu tuone itakuwaje, hata hivyo kwa mtazamo wangu mimi naona alijitahidi sana kuendana na kasi ya EPL. Nadhani ulimuona hata Matic msimu wake wa kwanza pale Chelsea alikuwa kama mgonjwa ila baadae akaja kuwa mpiga kazi mzuri tu.Hiyo deal next week itakuwa imekamilika. Inabidi pale sasa tupate kiungo mkabaji mmoja maana ile kazi yule mswis haiwezi kabisa
Yule jamaa hawezi kuifanya ile kazi,yule ni box to box midfielder,aaah matic ule msim wa kwanza sote tulijua chelsea wamelamba dume,labda kama ulikuwa haufuatilii kwa ukaribu,Tulia mkuu, Xhaka ndio kwanza ana msimu mmoja kwenye EPL hauwezi ukahitimisha hivyo eti hawezi. Angalau tusubiri na msimu huu tuone itakuwaje, hata hivyo kwa mtazamo wangu mimi naona alijitahidi sana kuendana na kasi ya EPL. Nadhani ulimuona hata Matic msimu wake wa kwanza pale Chelsea alikuwa kama mgonjwa ila baadae akaja kuwa mpiga kazi mzuri tu.
Yule jamaa hawezi kuifanya ile kazi,yule ni box to box midfielder,aaah matic ule msim wa kwanza sote tulijua chelsea wamelamba dume,labda kama ulikuwa haufuatilii kwa ukaribu,
Ornstein akisema ndo BBC.COM imesema ni super reliableDavid ornstein wengi nadhani mnajua huwa hatoi taarifa ya uongo mara nyingi habari zake zinakuwa za kweli kwenye page yake amepost kuwa arsenal wanakaribia kumnasa lacazzete kila kitu wameshakubaliana yan klabu na mchezaj bado medical na kusaini tu.mm nimeshafunga mjadala wa lacazzete ni mali yetu huyu tayari namsubiri Thomas Lemar, niwakumbushe ornstein ndie aliyetoa habari za ozil, sanchez, debuchy, xhaka na zote zikawa kweli