RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,315
- 134,769
Hongereni sana......Leo mmenifurahisha....Chelsea walitegemea watokee tu uwanjani washinde....Hawakujua hii ni fainali chochote kinaweza kutokea.....Arsenal wamepigana 200%....Leo hadi Ozil anakaba!
Ukitaka kuchukua ubingwa mechi zote inabidi mcheze hivi,kama fainali...
Ukitaka kuchukua ubingwa mechi zote inabidi mcheze hivi,kama fainali...