privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,282
Acha tu nikupe hongera.!Alhamdulillah, sio mbaya as na sisi tumetoka na kikombe na kubwa zaidi kumfunga bingwa wa EPL fainali.
COYG
Jirani yaani leo nimeitekeleza amri ya Yesu 100% mpende jirani yako kama nafsi yako yaani nimekupendaaaaaaaaa!!! Nimekushabikia kwa nguvu zote!!
Ushabiki kitu ya ajabu leo Mashabiki wa arsenal wanamshangilia Arsene Wenger
Hahahhahha wewe sasa unataka nikalale!!!!Ndicho hicho ninachokupendea mimi. Najua Arsenal iko kwenye damu yako kwa miaka mingi sasa. 🙂🙂
Sikutegemea kumuona metersacker ktk ubora huu na ni miongoni mwa wachezaji walionitia wenge tangu mwanzo ila arsenalMetersacker anasema leo hakutegemea kucheza
Niwatakie Community Shield njema,msimu uliopita nilipata vyote hakikisha na wewe hupotezi.!!Ndicho hicho ninachokupendea mimi. Najua Arsenal iko kwenye damu yako kwa miaka mingi sasa. 🙂🙂
Nifah nilikuambia leo tunashindaAlhamdulillah, sio mbaya as na sisi tumetoka na kikombe na kubwa zaidi kumfunga bingwa wa EPL fainali.
COYG