Unaongelea Manure waliowafunga mechi 2 msimu huu au ipi hiyo?
Ukweli ni kwamba, timu za Uingereza mwaka huu hatua hii ndio ukomo wao wa UCL. Labda yatokee maajabu. Timu pinzani zimejiandaa zaidi, zinadefend vizuri zina-attack vilevile.
Unaongelea Manure waliowafunga mechi 2 msimu huu au ipi hiyo?
Ok. Kojoa kalale! I can understand your thinking, it's an Arse syndrome. Any team that send out Chelsea is bound to be a Champ, my money is on Inter Milan this year!Sioti mkuu Peasant.....namanisha Arsenal ndio watakuwa washindi, watachukua kombe
boooooooooooo!!!!!!!! Half time......Fat Arse play beautiful football, MY FOOT! Arsenal is rubbish!! PRETENDERS AT BEST..!!!!
Ni vizuri umeona hilo! Arsenal players don't have balls when it really matters!Stupid arsnl playerz r so nervous of big games till last minutes.
Kwa kweli naogopa camp nou kama mambo ndo hivi kuogopa wanaume wenzao.
Messi katolewa kwa sababu mechi tayari ishaonekana mwelekeo, hakuna haja ya kum-risk wakati kazi imekwisha.Wajitahidi kuzoea majina bana. Mbona MESSI wameweza kumficha mpaka akawa substituted!
No comment.Arsnl have 2 stop being lazy.
Ok. Kojoa kalale! I can understand your thinking, it's an Arse syndrome. Any team that send out Chelsea is bound to be a Champ, my money is on Inter Milan this year!
WEKA PICHA BASI HAPA MH mbu!πππ ha ha ha haaaa hhaaa...!
WACHA!
Missing you buddy!!!!
da gemu lilikuwa kali...kweli washikaji wanapiga boli..anyway tutawafunga magoli kwao!
Keep dreaming, 2-2 is very harsh to Barca!
You forgot to mention that Fabregas will be out as well. By the way, Barca don't really need centre backs, do they? Sikuona kama mabeki wao walikuwa na kazi kubwa ya kufanya leo hapo Imarati.Tripo toka asubuhi nilikuwa nasisitiza kuwa tatizo ni hofu, sasa imeondoka, lazima barca atolewe kwao!
Beki sasa hawana maana Puyol na Pique visiki vyao wamepata kadi, washambuliaji wetu watakuwa wamepona!
Arse bana..yaani wanaishi ktk denial.Sasa hivi zile chance za first half Barca wangezitumbukiza kimiani si ingekuwa aibu?
Nadhani tungeenda kwenye kama 7-0 au zaidi
You forgot to mention that Fabregas will be out as well. By the way, Barca don't really need centre backs, do they? Sikuona kama mabeki wao walikuwa na kazi kubwa ya kufanya leo hapo Imarati.
eheee, ushaanza kushabikia manure sasa hata wikiendi haijafika?
au ndio unahamisha kambi mazee?
Ngoja nikalale mie,...Peasant you need a break or a 'kit kat' bana. Mlitaka magoli hayo manne mmeyaona.
Kalaleni sasa π
~~~~~~ZZZzzzzzzz!!!....~~~~~
ulikuwa wapi dkk 990 za mtanange?
hahahahaha! Jirani unanichekehsa sana. Hutakiwi kuongea kuhusu Arse..vin au Gallas, wakati wanatoka tayari Barca wamekosa magoli kama 5 hivi....sidhani kama ni factor!Mkuu...Mbona nanyi mmepigwa na Inter Darajani...Mlikuwa Pretenders?...Binafsi nawasifu wachezaji wa Arsenal kwa uvbumilivu wao waliounesha kiasi cha kuweza kubadilisha mchezo na kuwafanya Barca waanze kudefend badala ya kushambulia(wametushambulia karibu 75% ya mchezo)...Pia kuumia kwa Arshavin na Gallas kumevuruga kabisa Hisabati za Arsene...Hata hivyo lolote lawezekana kwenye football(mbona Inter alimchapa Chelsik nyumbani Datajani?) So miujiza yaweza tokea Nou Camp,twaweza wachapa hawa aisee
Barcelona simply blew chances after chances....Ngoja tuone watafanyaje Nou Camp!
Kukosekana kwa Fabregas kusikusumbue aisee....AW atamuandaa ntu wa kuziba pengo la Cesc...Kuna mechi nyingi tu ambazo Cesc hajacheza na tumefanya vizuriπππ