McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
FT
WBA 3-1 Arsenal
WBA 3-1 Arsenal
Khe khe khe kheeee hii kisingizio ya leo ni mpya aisee. Okay....90min West Brom 3- 1 Gunners
Too bad, hawa washabiki koko wanawapa hata waamuzi kazi rahisi and then you cannot play like that. Prof tangu alipoanza kununua English players jahazi linazama. Walikuwa wanamlaumu anaweka 11 foreign payers. What next!
90min West Brom 3- 1 Gunners
Too bad, hawa washabiki koko wanawapa hata waamuzi kazi rahisi and then you cannot play like that. Prof tangu alipoanza kununua English players jahazi linazama. Walikuwa wanamlaumu anaweka 11 foreign payers. What next!
Upo hadi huku..Kesho Mungu akipenda tutawakodishia ule mtaa wa sita.Poleni sana ndugu zangu.
Hawa ndugu zangu bila kuwapa pole wanaweza kijinyonga,hahhaha haya bana!!Upo hadi huku..Kesho Mungu akipenda tutawakodishia ule mtaa wa sita.
Tutawapa kile chumba chetu kesho Mungu akipenda.Bye bye Arsenal
Huyu mpumbavu aondoke haraka sana imetoshaNaona mabango mawili yanasema "Wenger Out"
Afukuzwe huyu mjingamjingaArsene Wenger anatia huruma sana
Yaani kesho is our day!!!Tutawapa kile chumba chetu kesho Mungu akipenda.
Inakuhusu je we kuziNa mpaka msimu uishee mnakuwa namba 10...Wenger si Mungu wenuuu...