Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Dakika ya 83 hiyooo
WBA 3-1 ARSENAL
WBA 3-1 ARSENAL
Hivyo kesho Arsenal anaweza hamia mtaa wa sita sio?Arsenal kwenye ligi ni wa nne tofauti point moja na Manutd
Wapenzi wameanza kutoka uwanjani huku wameinamisha vichwa